vipi kuhusu hiki chuo

wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,931
3,299
habari wakuu, nimesikia kuna chuo kipya cha ualimu huko mafinga karbu na kambi ya jeshi JKT, naomba kuuliza wanatoa dip au certificate? je wanafundisha masomo gani? wataanza lini? naomba msaada wenu coz nina dogo hapa nataka nimtupe huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom