njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
tushamsifia sana na tunamsifia sana kila siku sisi wengine siyo machawa ,maslahi yetu ni kwa klabu na siyo mtu huu ujinga anaoufanya sasa tutamuwashia moto sana kudadadeeekiBarbara sio legelege hata Manara anajua hilo na ndio maana bugati kila siku anafungua acc mpya za kumponda mdada aliye mfukuza kwenye ulaji Bugatti aliumizwa mno.
Endeleeni kumponda mdada ila msisahau kuwa hayupo legelege.
na kweli inaingia bwana topo topolo aiseeee siamini kama miezi mitatu watu wamekosa namba 9 na 6 katika nchi 56 za afrikaTulieni dawa iwaingie
Siku atakapozomewa na mashabiki wa simba mtaani au pale taifa ndipo tutajua yeye hardcore au legelege, watu wakikuheshimu na wewe waheshimu basi usiwafanye wajinga sanaBarbara sio legelege hata Manara anajua hilo na ndio maana bugati kila siku anafungua acc mpya za kumponda mdada aliye mfukuza kwenye ulaji Bugatti aliumizwa mno.
Endeleeni kumponda mdada ila msisahau kuwa hayupo legelege.
hata wakipewa miaka 3 hiyo namba 9 na 6 hawataweza kusajili wataongeza wachezaji wafupi viungo washambuliajiSimba safari hii kila ikiruka ikitua inakanyaga mavi... Rest in peace, mjiandae upya kwa msimu ujao
Hima msichelewe 😂tushamsifia sana na tunamsifia sana kila siku sisi wengine siyo machawa ,maslahi yetu ni kwa klabu na siyo mtu huu ujinga anaoufanya sasa tutamuwashia moto sana kudadadeeeki
Mashabiki wa kuzomea ni wale wanaovamia na kushabikia wasicho kijuaSiku atakapozomewa na mashabiki wa simba mtaani au pale taifa ndipo tutajua yeye hardcore au legelege, watu wakikuheshimu na wewe waheshimu basi usiwafanye wajinga sana
hata wakiwa walevi ipo siku walevi wenzao wataungana nao, ndiyo maana nasema kinachoendelea kwa sasa ni dharau kwa mashabiki wa simba lakini haina noma kuna watu watanyooka hawataamini macho yaoMashabiki wa kuzomea ni wale wanaovamia na kushabikia wasicho kijua
Zomeeni tu hata kesho ila hamna ubavu wa kumuondoa mtu asiye legelege, tena mdada 😂
watu hadi leo hela zilizochangishwa(milioni 210) tukaambiwa ukuta utajengwa ni kimya..na watu wanachangia kwa hali nyingi kwenda uwanjani ku engage mtandaoni hado sponsors wanavutika kutoa mabilions au club inatoa hela za vocha?Oya mnapokuwa wapesi kukosoa pia muwe wepesi kuchagia michango ktk vilabu vyenu .....
ungejipumzisha kusoma mkuu au we ni jobless unapitia tu threads na kukariri mtu kaanzisha ngapi?Mkuu pumzika japo kidogo kila muda manzoki namba 6,9 thread sijui ya ngapi hii.
Jikaze siyo wewe pekee ni shabiki wa Simba Sc!
Ujenzi ktk maeneo kama yale lzm kuwe na mchakato sio una amka asubuhi na kuamza kupanga tofaliwatu hadi leo hela zilizochangishwa(milioni 210) tukaambiwa ukuta utajengwa ni kimya..na watu wanachangia kwa hali nyingi kwenda uwanjani ku engage mtandaoni hado sponsors wanavutika kutoa mabilions au club inatoa hela za vocha?
watu wanapigania hadi jezi, KAMA HAWAKUWA NA HELA YA KUMNUNUA MANZOKI SI WANGESEMA? KUNA MATAJIRI WASHABIKI WA SIMBA WANGEWEZA SAIDIA EBOOO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kapagawa huyo mkuu mwache hasira zake zikipoa atatulia maana Kwa sasa kawa kama mwehu Kila muda anashusha Uzi wenye maudhui yaleyaleMkuu pumzika japo kidogo kila muda manzoki namba 6,9 thread sijui ya ngapi hii.
Jikaze siyo wewe pekee ni shabiki wa Simba Sc!
Daaah! Noma mno!.Hahahaaaahaaa mwana lunyasi lia lia