Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 359
Altezza na Forester zinalingana engine size!
Tupishe na subaru etc zako kama umeshindwa kichangia altezza....sambaaa.....
Back to topic mkuu wewe chukua tu hiyo altezza ni gani nzuri kwa safari ndefu na kama mchangiaji wa mwanzo alivyo sema...kwa masafa marefu ambayo si ya barabara mbovu kama za tabora na kigoma kwa kweli utafurahia....ila warning speed kill na hizi gari kwa kweli kwa mwendo utajikuta 180 k/hr kila mara kama njia ya Dodoma singinda,singinda nzega...ni balaa
Wasalaam.