[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna pinti hapa ananisumbua kisa nilimpa namba kanitafuta nimemkaushia ngoja nikopi text yake.. Heshima inazid kurudi
iv ww mm sijalizika kabs namb unp mwenyewe kwa mikono yako ulisema ww nikifika nyumbani nikupigie sm kama nilikosea kusema hv nsmh
Nipe no yake nimuunge kwenye shamba la mzee aje kuvuna mahindiKuna dada mmoja sista duu sanaaaaaaaa,alikuwa hataki kabisa kujishughulisha kisa amesoma sana anasubiri mzee atoe ajira,huu ni mwaka wa pili tangu atoke chuo saivi namuona kwenye mradi wa wachina wa kutengeneza barabara anapiga kazi kwa bidii
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mkuu tutaongea lugha moja ni muda tu ndo utaamuanani huyo alizimiwa maiki?
kuna huyu mwingine ulimi uligoma kusema ambacho ubongo ume amrisha kisemwe
Vipi anasambaza msosi eeeh soon atatuletea medani ya kimataifa kwa kuzaa na mchina.Kuna dada mmoja sista duu sanaaaaaaaa,alikuwa hataki kabisa kujishughulisha kisa amesoma sana anasubiri mzee atoe ajira,huu ni mwaka wa pili tangu atoke chuo saivi namuona kwenye mradi wa wachina wa kutengeneza barabara anapiga kazi kwa bidii
Nna wasiwasi na wewe[emoji23]Nipe no yake nimuunge kwenye shamba la mzee aje kuvuna mahindi
Acha kabisaaaa,ameshasahau ndoto ya kufanya kazi kwa kalamu kwenye ofidi yenye kiyoyoziVipi anasambaza msosi eeeh soon atatuletea medani ya kimataifa kwa kuzaa na mchina.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] nyodo zote kwishneiUmesahau karume mia mbili. Heshima sio imerudi heshima imefika, mabint wote wakali imekuwa mserereko hadi huruma. Magu apunguze kdg Dada zetu wasio Na ajira yaani maji nusu tu sio mara mmoja
kumbe tuko wengi tunaochukiwa na mademu kwa kuwakaushia, hilo limenikuta sasa hivi hapahapa nilipokaa.Kuna pinti hapa ananisumbua kisa nilimpa namba kanitafuta nimemkaushia ngoja nikopi text yake.. Heshima inazid kurudi
iv ww mm sijalizika kabs namb unp mwenyewe kwa mikono yako ulisema ww nikifika nyumbani nikupigie sm kama nilikosea kusema hv nsmh
ha haKuna pinti hapa ananisumbua kisa nilimpa namba kanitafuta nimemkaushia ngoja nikopi text yake.. Heshima inazid kurudi
iv ww mm sijalizika kabs namb unp mwenyewe kwa mikono yako ulisema ww nikifika nyumbani nikupigie sm kama nilikosea kusema hv nsmh
balimi imekuwa tamu kuliko bia zoteVipi watu wangu wa Nguvu pande zenu bado mnaziita hela majina yale ya utawala wa mkwele ,
Kama.
Bati=mia mbili
Jiti = mia
Jero= mia tano.
Buku=elfu moja
Kifaru= elfu tano.
Mwekundu wa msimbazi=Elfu kumi.
Au mmeshazipa heshima yake kwa kuzitamka jina lake halali tena kwa unyenyekevu mkubwa?
Na vipi kuhusu ule msemo wa Laki sio pesa bado unafanya kazi ?.
Na vipi kuhusu yule jirani aliyekuwa anasumbua kila siku Nyama na pamba kali bado anaendeleza game au tayari ameshasanda anaomba mpaka kitunguu?
Na vipi kuhusu yule demu aliyekuwa anaringa na kamsemo kake ka utanipa nini wewe mi ni mtu wa kufwata na watu wenye pesa zao bado yupo vile vile au kitaa wana wanajilia tu?
Na wale malaya waliokuwa wanauza papuchi huku wakisema mi bila laki tano hunivui pichu yangu bado wamekaza au wameshashusha dau?
Tuambizane basi wadau huko mliko vipi?
hahaaa mkuu heshima inarudi punde, yaani sijisikii kua na shobo na binti yoyote. kananisumbua haka. sms nyingine hii hapakumbe tuko wengi tunaochukiwa na mademu kwa kuwakaushia, hilo limenikuta sasa hivi hapahapa nilipokaa.