kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,143
Wapi Huko KiongoziHapa kwetu juzi ilnyesha siku nzima.
KwamtogoleWapi Huko Kiongozi
HaaKwamtogole
Uko chuo cha kilimo mkuu?Hapà Mkanyageni mvua tumeamka nayo na inaendelea kunyesha
Mimi ni mkulima tu hapa, kumbe unapajua pale?Uko chuo cha kilimo mkuu?
Kuna mchunga mzuri sana kipande hiyo msimu huu wa masikaMimi ni mkulima tu hapa, kumbe unapajua pale?
Mkuu kinondoni ipi uliyopo wewe, Niko close na mahakama ya kino Apa mvua haikatiki mzee.Hapa kinondoni ni jua kali sana hakuna mvua