Vipi bado inalipa kununua S8 plus Samsung?

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,575
Reaction score
8,911
Nimenunua S8 Plus used lakini, sasa nauliza ni sawa au nimeingia chaka? Maana nimejaribu kusoma mahali naambiwa mwisho wa S8 kupata update kutoka Samsung itakuwa May 2021.

Watalaamu niambieni.
 
Inategemea na matumizi na bei uliyoinunulia, kikawaida flagship zinakuwa na top specs.

Mfano modem ya s8 simu ya 2017 inakubali hadi 1Gbps, wakati midrange za kisasa za 2020 kama A70 ambazo bei zinakaribia 1m ni 800mbps.

Kuhusu updates ndio usitegemee iendelee kupata tena, ila security patch ya 2021 sio mbaya inamaana inaweza kukusogeza hata 2022.
 
Mkuu mfani Samsung C9 pro 2016 inafaa kwa matumizi ya kawaida namaanisha social networks, kupiga, kupokea na text Nahitaji updates za kazi gani kwa matumizi hayo??
 
we yako haikusumbui na moisture detection kwenye kucharge.
 
Mkuu mfani Samsung C9 pro 2016 inafaa kwa matumizi ya kawaida namaanisha social networks, kupiga, kupokea na text Nahitaji updates za kazi gani kwa matumizi hayo??
C9 pro ni simu nzuri hata kwa standard za sasa, nzuri kushinda Simu kama A11 na A21. Kuanzia A50 kupanda ndio nzuri zaidi.

Hivyo matumizi hayo itafanya bila wasiwasi.
 
Asante mkuu, ngoja niichukue, sitaki kukimbizana na technology ambayo haina msaada kwangu,

matumizi yangu kwenye smartphone ni hayo tu tena ukizingatia ukubwa wa battery najiweka hapo kwa muda
 
nimekuelewa sana

Back
Top Bottom