Haaaa yan huyu saiv n makam wa rais lakn kazi yake kubwa n kufungua warsha .....sijui benk....yaaan yy n ufunguz tuuuu!!mpaka bodigad wake anatembea na mkas kila sehem maana wanaweza kupigiwa simu kua kuna ufunguz somewea so yupo na zana muda wote!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.