Vipepeo weusi season 2: From Zurich with rules

Vipepeo weusi season 2: From Zurich with rules

Alhamdullilahy kwema kabisa pia hongera japo zimechelewa kwa kunyanyua kwapa kombe la FA hapo ndipo babu yenu anapowakamatia na kumzawadia kandarasi ya miaka miwili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shemeji nimecheka sana,shukraan.
 
163e038381e25b1269f3755f74ca6bd8.gif
Hahaha!! Enjoy it man..
 
Ratiba ikoje nazungumzia humu
Kule kwenye group na website na vipi The Other Half itaendelea au inasimama kwa muda??
 
Kwenye group tumeshaipata episode 2 ya season 2 live mubashara 7:25 pm jumanne. Naaam , karibuni mjiunge maana ngoja ngoja huumiza ........
 
Mkuu @theBold Naweza kupata access ya kuipost kwenye blog Yangu?! Napenda sana simulizi za kijasusi kana hizi....zinanifungua akili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom