Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,906
- 150,216
Naona ila usife moyo mbona wewe ndo umeshika mpini ....Jirani mambo mazuri kiasi ila kuna pipo humu zinanitia jamba jamba hatari
Naona ila usife moyo mbona wewe ndo umeshika mpini ....Jirani mambo mazuri kiasi ila kuna pipo humu zinanitia jamba jamba hatari
The Bold naomba na mimi uwe unani tag please...!!!!Kama nilivyoahidi wakuu! Episode 8 ni leo Jumatano, tuwe na subira mpaka majira ya saa kumi itakuwa iko hewani..
Asante!
Kabla hata tume haijatangaza hesabu kabisa hicho kitenge umekipata tena cha congo,
Kama nilivyoahidi wakuu! Episode 8 ni leo Jumatano, tuwe na subira mpaka majira ya saa kumi itakuwa iko hewani..
Asante!
Bila shaka... Tayari.The Bold naomba na mimi uwe unani tag please...!!!!
Morning Tag master!Bila shaka... Tayari.
Morning loser!Kabla hata tume haijatangaza hesabu kabisa hicho kitenge umekipata tena cha congo,
Morning dearest broh,hope you good.Morning Tag master!
Kama nilivyoahidi wakuu! Episode 8 ni leo Jumatano, tuwe na subira mpaka majira ya saa kumi itakuwa iko hewani..
muda mzuri huo majukumu yanakuwa yamepungua
Tatizo mpini wenyewe hautak tena kushikwa umekuwa kama kambale unatereza kila nikiukamatiaNaona ila usife moyo mbona wewe ndo umeshika mpini ....
Morning from Mr championMorning loser!
We unafikiri huyu mchafu kama ww? saa nne hii kuoga kweli? we kweli loserChocolate yanguuu!
Hebu amka tukaoge kwanza!
Ahsante mamaKumbe nawe mnyama bora tutembee pamoja
Ww utanifaa kama team Msimbazi safi sana na kule kwa malkia jeTeam wekundu...! Lets Go
Morning loser!
Daaah,mi bhana naona bora niepushe MSONGAMANOmambo kipenzi cha mie
Broo bwana hadi saa kumi tena ntumie kwa email mie nkusaidie kutype basi kama umechokaKama nilivyoahidi wakuu! Episode 8 ni leo Jumatano, tuwe na subira mpaka majira ya saa kumi itakuwa iko hewani..
Asante!