Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Habari wakuu?

Leo ndio episode ya 6 ilipaswa kuwekwa mida ya jioni...

Kwa bahati mbaya The bold amepatwa na dharura fulani hivi...
Kuna changamoto imejitokeza that's why hamjamuona online siku ya pili sasa.

Tuwe na subira kidogo,tunaamini mpaka kesho jumapili atakuwa amerejea na kuendelea na simulizi.

Sorry for inconvenience!

#TheBold's

We mama ep6 imetoka??

Maana nikukuuliza CHEUPE nahisi.majibu fastaaa
 
Ni kawaida mkuu,halihusiani kabisa na hii simulizi.
Asante sana.
Asante kwa taarifa! Nadhani utaratibu wa kuahidi episode itawekwa lini kwa sasa ufutwe. Ajipe wiki Tatu atengeneze episode zao kutosha na baada ya hapo ndiyo aanze kutuweka ahadi ya Episode itatoka lini. Ni ushauri ili kusaidia kuimarisha ushirikiano wake na Sisi tunaofuatilia story yake. Watu wakishajenga hisia za analinga itakuwa mbaya. Najua anafanya hii kitu kwa utashi wake.
 
Nifah unazingua,mapenzi yenu yasikoseshe wengine uhondo....tutaandamana #Nifahbringbackthebold#
Heeeeey you are going too far.
Am not bragging type of a woman ila watu kama nyie mnasababisha niwe hivyo.

Hili tuliliongelea mimi na The bold kabla ya kuleta hiyo taarifa hapa (tulilijua hili) that laiti kama mngejua ni jinsi gani naplay part kubwa ktk hii simulizi hadi mnaisoma sijui mngenishukuru kiasi gani.

Kwanza kama sio mimi wala asingeiandika,ni ushawishi & utashi wangu ndivyo vilivyopelekea The bold akakubali kuwaletea hii simulizi.

So naomba sana kabla hujaropoka (kama kuna wengine wenye mawazo kama yako) muwe mnatafakari/kuuliza kwanza.

Hivi unavyokimbilia kutoa lawama unataka nianike kila kitu hapa?Unajua ni sababu gani mtunzi ameshindwa kuwaletea episode inayofuata?
Vipi kama yuko hoi hospital?
Nimefanya kosa kuwajulisha?
Vipi ningeamua kukaa kimya kwani mngenifanya nini?

Hivi kwanini watu mnakosa ustaarabu kiasi hiki?
Am dissapointed,really dissapointed!
Na kuanzia sasa nitakuwa siwajuzi chochote.
Naona sasa ustaarab umefikia mwisho.
 
On behalf of my fellow citizen.....whom are waiting this nice shiiitt....naomba bibie ucool down.Penye watu wengi lazima kutokee vijambo.Sometimes unaignore kwa sababu wengi tunakuelewewa wewe ni leshemeji le akili kubwazzzz so please cool down.Najua utatoa msamaha na utaendelea nasi kama kawaida super duper shemela.Please come back....lets have fun.We love you .....you know...
 
Mkuu Nifah poleni na changamoto. Ndio mitihani saa ingine hiyo. We plan God naye anafanya yake. Nawaombea wepesi kwa lolote lile. Poleni na jioni njema. Subra ni muhimu ktk maisha. Cc The Bold.
 
Heeeeey you are going too far.
Am not bragging type of a woman ila watu kama nyie mnasababisha niwe hivyo.

Hili tuliliongelea mimi na The bold kabla ya kuleta hiyo taarifa hapa (tulilijua hili) that laiti kama mngejua ni jinsi gani naplay part kubwa ktk hii simulizi hadi mnaisoma sijui mngenishukuru kiasi gani.

Kwanza kama sio mimi wala asingeiandika,ni ushawishi & utashi wangu ndivyo vilivyopelekea The bold akakubali kuwaletea hii simulizi.

So naomba sana kabla hujaropoka (kama kuna wengine wenye mawazo kama yako) muwe mnatafakari/kuuliza kwanza.

Hivi unavyokimbilia kutoa lawama unataka nianike kila kitu hapa?Unajua ni sababu gani mtunzi ameshindwa kuwaletea episode inayofuata?
Vipi kama yuko hoi hospital?
Nimefanya kosa kuwajulisha?
Vipi ningeamua kukaa kimya kwani mngenifanya nini?

Hivi kwanini watu mnakosa ustaarabu kiasi hiki?
Am dissapointed,really dissapointed!
Na kuanzia sasa nitakuwa siwajuzi chochote.
Naona sasa ustaarab umefikia mwisho.
Dear Nifah usikasirike kiasi hicho nadhani aliyeandika hakuwa serious kiasi hicho, Wote tuna majukumu na The bold ni binadamu naye ana ya kwake pia tunaelewa tuvumiliane maisha yaende! Kesho nayo ni siku .
 
Habari wakuu?

Leo ndio episode ya 6 ilipaswa kuwekwa mida ya jioni...

Kwa bahati mbaya The bold amepatwa na dharura fulani hivi...
Kuna changamoto imejitokeza that's why hamjamuona online siku ya pili sasa.

Tuwe na subira kidogo,tunaamini mpaka kesho jumapili atakuwa amerejea na kuendelea na simulizi.

Sorry for inconvenience!

#TheBold's
Drama Queen katika ubora wako...
 
Heeeeey you are going too far.
Am not bragging type of a woman ila watu kama nyie mnasababisha niwe hivyo.

Hili tuliliongelea mimi na The bold kabla ya kuleta hiyo taarifa hapa (tulilijua hili) that laiti kama mngejua ni jinsi gani naplay part kubwa ktk hii simulizi hadi mnaisoma sijui mngenishukuru kiasi gani.

Kwanza kama sio mimi wala asingeiandika,ni ushawishi & utashi wangu ndivyo vilivyopelekea The bold akakubali kuwaletea hii simulizi.

So naomba sana kabla hujaropoka (kama kuna wengine wenye mawazo kama yako) muwe mnatafakari/kuuliza kwanza.

Hivi unavyokimbilia kutoa lawama unataka nianike kila kitu hapa?Unajua ni sababu gani mtunzi ameshindwa kuwaletea episode inayofuata?
Vipi kama yuko hoi hospital?
Nimefanya kosa kuwajulisha?
Vipi ningeamua kukaa kimya kwani mngenifanya nini?

Hivi kwanini watu mnakosa ustaarabu kiasi hiki?
Am dissapointed,really dissapointed!
Na kuanzia sasa nitakuwa siwajuzi chochote.
Naona sasa ustaarab umefikia mwisho.
Kubali tu wewe nini spokeswoman wa The Bold.. Umejipa majukumu basi yatimize kwa moyo wote hapa hakuna kuombwa kuombwa...
 
The bold unajua nimeahirisha safari leo nakusubiria, fanya hima ubandike kitu hapa, umeturoga mwenyewe acha tukusumbue. Halafu jitaidi utoe kitabu kama alivyoshauri mdau hapo juu, kwa talanta hii, kazi ya mikono yako hakika utaila.
 
Heeeeey you are going too far.
Am not bragging type of a woman ila watu kama nyie mnasababisha niwe hivyo.

Hili tuliliongelea mimi na The bold kabla ya kuleta hiyo taarifa hapa (tulilijua hili) that laiti kama mngejua ni jinsi gani naplay part kubwa ktk hii simulizi hadi mnaisoma sijui mngenishukuru kiasi gani.

Kwanza kama sio mimi wala asingeiandika,ni ushawishi & utashi wangu ndivyo vilivyopelekea The bold akakubali kuwaletea hii simulizi.

So naomba sana kabla hujaropoka (kama kuna wengine wenye mawazo kama yako) muwe mnatafakari/kuuliza kwanza.

Hivi unavyokimbilia kutoa lawama unataka nianike kila kitu hapa?Unajua ni sababu gani mtunzi ameshindwa kuwaletea episode inayofuata?
Vipi kama yuko hoi hospital?
Nimefanya kosa kuwajulisha?
Vipi ningeamua kukaa kimya kwani mngenifanya nini?

Hivi kwanini watu mnakosa ustaarabu kiasi hiki?
Am dissapointed,really dissapointed!
Na kuanzia sasa nitakuwa siwajuzi chochote.
Naona sasa ustaarab umefikia mwisho.
Shemegi.. msamehe mtu Saba Mara Sabini... Tuliza Moyo shemegi wala usitaharuki... Na pia nikupe Pole kwa mitihani yeyote utakayo kutana nayo katika mchakato wa kukamilisha simulizi hii.. Be Bold... Be Strong Nifah
 
Habari wakuu?

Leo ndio episode ya 6 ilipaswa kuwekwa mida ya jioni...

Kwa bahati mbaya The bold amepatwa na dharura fulani hivi...
Kuna changamoto imejitokeza that's why hamjamuona online siku ya pili sasa.

Tuwe na subira kidogo,tunaamini mpaka kesho jumapili atakuwa amerejea na kuendelea na simulizi.

Sorry for inconvenience!

#TheBold's
Damn udhuru gani tena huo bila taarifa ,,,aggghjhhh! kwahyo siku inaisha hv hv leo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom