Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Shemeji yangu NIFAH mwambie THE BOLD anihusishe kwenye tag list ,
Yaani napitwa vitu vitamu vitamu aisee,
Mwambiee aiseeee ,
Mi ni fams wake bhanaa.
Nifah yuko jikoni anakalangiza, kushika simu mpaka baadae

Daahh Mkuu ila mbona nimekutag.. Hebu angalia hiyo taglist post # 1657 mbona jina lako lipo tena uzuri ID yako inaandikwa kwa herufi kubwa so inaonekana kiurahisi tu hapo ukiangalia..

Sema notification zinasumbua kufika! JF wafanyie kazi hii kero.. Tunaipigia kelele sana
 
Nimefurahi sana ,
UBARIKIWE mkuu,
Msalimie shemeji yangu cheupe NIFAH
 
The bold naomba link ya episode 6 kama ipo tayari.

Hv epi6.bado au tayar??

Mkuu jasusi the bold baba wa CHEUPE vipi??
WAKUU EPISODE 6 IMETOKA MUDA TU TANGU SAA 12 ASUBUHI

TAZAMA POST # 1656 (KAMA UNATUMIA APP KWENYE SIMU NENDA PAGE YA 166)

Episode 7, inaendeleo leo hii pia saa mbili usiku..
 
Mkuu The bold .. Shukrani sana.. Naisubiria kwa hamu kombinesheni yako na Isaac hapo Sote Hub kufukunyua data za Ndeshema na hao The Board Wengine. Ahsante sana na tukutane saa mbili hapa.
 
Mkuu, siku nyingine namimi unikumbuke
 
Asante sana Mkuu the bold na shemej yetu Nifah Kwa kututimizia ahadi tuliyoisubiri Mda mrefu, mbarikiwe afya tele na uzima tele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom