Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Mungu ni Mungu...........Eti Leo hii ile Story ya Vipepeo imekua ya kusoma walio nacho......Sisi pangu Pakavu tia Mchuzi Tusubiri mpaka wepende wao..............ni shida sana, nimejaribu bila Mafanikio kujieleza wanifanyie Exemption wenyewe wamekaa kimywa ingawa wote humu JF wanajua kuwa mimi ni apeche lolo.......lakini wapi bhanaaa.....ndiyo kwanza utawasikia hii ilikuwa ya kunywea Bia sijui nini.....?? The Bold weka basi hata mara mbili wa wiki nasi tusome au imekuwa Mtaji sasa nijue moja ili niuambie Moyo, MOYO WANGU TULIA JF KUNA VITU VYA WATU.......
 
Ongea na Nifah jamaa kashikwa masikio hafurukuti!
 
HILI=NDIYO...HILI=SIYO, LAKINI WAKATI UKIFIKA UKWELI UTAJULIKANA TU.
nime quote sign yako mkuu
 
Dah.! We jamaa bhana unapenda kulalamika sana.. Sijui unataka nifanyeje ndio ufurahi!!

Nimekutumia Ujumbe PM nenda kasome kabla hujajibu hapa
 
"so ukinisaidia namba ya yule jamaa yako anayefanya kazi pale utakuwa umenisaidia sana, si unajua watanzania bhana tunaishi kwa kujuana hahahhah" nikamtega na kucheka kinafiki."
 
Eeeh so hadithi hamna tena au imeanzishiwa thread ingine???
 
Dah.! We jamaa bhana unapenda kulalamika sana.. Sijui unataka nifanyeje ndio ufurahi!!

Nimekutumia Ujumbe PM nenda kasome kabla hujajibu hapa
Nimeusoma Mkuu......
Yani analalamika utadhani yeye ndio mwenye shida dunia nzima.
Kila mtu angeamua kulialia ingekuwaje?
Kila mtu ana mashida zake bhana ,na ustaarab ni kukaa kimya.
Wewe Nifah, siye wa kuninanga hivyo mimi.........unajua kila Mtu akilia hushika Kichwa chake na si cha Mwingine.....usinishangae mimi nakutegemea wewe alafu unanisemanga kwa johnsonmgaya.......Aya bhana......lakini Sukari wako The Bold kanielewa........
HILI=NDIYO...HILI=SIYO, LAKINI WAKATI UKIFIKA UKWELI UTAJULIKANA TU.
nime quote sign yako mkuu
Na hii yako vipi.......? "Lies are necessary when the truth is very hard to believe."
 
Nimeusoma Mkuu......

Wewe Nifah, siye wa kuninanga hivyo mimi.........unajua kila Mtu akilia hushika Kichwa chake na si cha Mwingine.....usinishangae mimi nakutegemea wewe alafu unanisemanga kwa johnsonmgaya.......Aya bhana......lakini Sukari wako The Bold kanielewa........
Na hii yako vipi.......? "Lies are necessary when the truth is very hard to believe."
Hii yangu umeielewa pia? zote zina majibu katika kilio chako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom