fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,030
Shabaash! Watoto siku hizi khadabu zero!Hebu tulia wewe! Baba ? Baba umemzaa nani?
Shabaash! Watoto siku hizi khadabu zero!Hebu tulia wewe! Baba ? Baba umemzaa nani?
Sabab yako ww hapo baba wa kuchepuka unadhani watt watakuwajeShabaash! Watoto siku hizi khadabu zero!
Kutafuta mke wangu, nisipotafuta hawa watoto hizi ngebe za kujamba watazitoa wapi?Ww nawe ni baba hewa tu nakaribia kukutumbua,yaani unapotea wiki nzima aiseeee
Aiseeee,kutafuta etiKutafuta mke wangu, nisipotafuta hawa watoto hizi ngebe za kujamba watazitoa wapi?
Unawez kampeni wewe? Ama ndo kina Dovutwa...mwisho wa kampeni mnamuunga mkono JKyesss




Hahahaha usinikumbushe kwenye kampeni basiUnawez kampeni wewe? Ama ndo kina Dovutwa...mwisho wa kampeni mnamuunga mkono JK![]()
Jimbo liko wazi mkuu
Nione mtu anatia kisigino kwenye Jimbo hili atajua kwanini Dovutwa alijitoa.Jimbo liko wazi mkuu
Nione mtu anatia kisigino kwenye Jimbo hili atajua kwanini Dovutwa alijitoa.
taratibu basi nyie nisije tumbuliwa na kuchekaHacha tu mama watoto, watoto wana utani mpaka baba yao naona wivu.Sabab yako ww hapo baba wa kuchepuka unadhani watt watakuwaje
Wako wajinga na namna hii...Hahahaha usinikumbushe kwenye kampeni basi
Jinyonge kama Fredy basi nione unanipendaHacha tu mama watoto, watoto wana utani mpaka baba yao naona wivu.
Nimesharudi, najua yale mastyle umeyamiss si unajua punch zangu si za kitoto?Aiseeee,kutafuta eti
Bahati mbaya nshakutumbuaNimesharudi, najua yale mastyle umeyamiss si unajua punch zangu si za kitoto?
Uwe na adabu basi na shem wako...ndo sababu hupati mke wa kukutuliza...Nimesharudi, najua yale mastyle umeyamiss si unajua punch zangu si za kitoto?


Mmhh, sijiyongi. Mwanaume mzembe ndiye ujinyonga.Jinyonge kama Fredy basi nione unanipenda
50/50 eeeh?kwavile kila mtu anapata amna shida ya kuumia.



50/50 eeeh?
Anaenjoy mgawa punch za ukweli...kama unamilika BMW X5 afu ukimbiza speed ni 60km/hr utakuwa mwendawazimu..
Sasa panch zangu anazijua yeye...![]()
