Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Unacheka na ww umo ujueHahahaaa! Ngoja nimealizieweekend yangu ! Its getting 00:00 hrs
Abaki na hamu zake tuu huyuu!![]()
Unacheka na ww umo ujueHahahaaa! Ngoja nimealizieweekend yangu ! Its getting 00:00 hrs
Abaki na hamu zake tuu huyuu!![]()
Wacha hizo baaaasi!Unacheka na ww umo ujue
Baby nimelipa 60,000 ! Hela ya mwaka mzima....
The day i loved you is the day i swore to protect you and never lose you..!
Nakupenda clkey wangu!
Walaaahi vile yaani! The bold anafanya kuwa kimya kwa ajili ya .....najua unaelewa hapooo
The bold njoo uokoe ndoa yangu mkuu!
hey vijana, baba yenu nimesharudi naona mama yenu Clkey kawadekeza sana na utani mwingi.Hahahaaa! Ngoja nimealizieweekend yangu ! Its getting 00:00 hrs
Abaki na hamu zake tuu huyuu!![]()
NdioWacha hizo baaaasi!
Ww nawe ni baba hewa tu nakaribia kukutumbua,yaani unapotea wiki nzima aiseeeehey vijana, baba yenu nimesharudi naona mama yenu Clkey kawadekeza sana na utani mwingi.
Hebu tulia wewe! Baba ? Baba umemzaa nani?hey vijana, baba yenu nimesharudi naona mama yenu Clkey kawadekeza sana na utani mwingi.
Ngoja nije pm manake hapa wanga wengi..!Ww nawe ni baba hewa tu nakaribia kukutumbua,yaani unapotea wiki nzima aiseeee
Who declared this? Mimi ndo jammehjimbo liko wazi
Sitaki hata kukuona kuleNgoja nije pm manake hapa wanga wengi..!
Kumbe vita vya panzi furaha kwa kunguri eeh?![]()
![]()
mshaanza vituko
Baby wanguuuuuu! Ngoja nikubembeleza hapa mbele ya watu sasa..Sitaki hata kukuona kule
Sitaki hata unikaribieBaby wanguuuuuu! Ngoja nikubembeleza hapa mbele ya watu sasa..
Weweee! Najua unaelewa sumu ya macho yangu...Sitaki hata unikaribie
Weweee! Najua unaelewa sumu ya macho yangu...
Ukinikaribia tuu umekwisha!

Jimbo liko wazi mkuutunachukua