Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Mkuu tukienda what's app sasa si ndo utapata namba zetu isije ukawa umetumwa na the board lol wale ndugu TCR.. Sio watu wazuri
 
Wakuu.nilisafiri kidogo nilikuwa.mexico,na deal na.los zetas....hivi huku.bongo mmeishia wapi..??

Hebu.mtu aguote uzi jiran na ep ilipo ishia niludi nisome

Maana nimedata kukuta kwenye uzi mwingine.niffan anasema Ray.kamit na.God gerezan

Kwakweli nipo nyuma..niliishia pale mahakamani
 
kwa leo The Bold nina Maneno mawili tu ya kuwa siyo Bure utakuwa ni mmoja katika zile club........(Usiku au mchana au Asubuhi).......Vinginevyo Unaakisi vilivyo.......!!!!

Leo nakesha kwani nimepata Kibarua cha ZEGE hapa Tazara.......
 
Hapo tazara pazuri sana panaonekana..
 
Cjui nikope wap buku 5 nijiunge na hilo group la whatsap maana moyo unataka ila hali hairuhusu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom