Vipaumbele vya serikali ya jk.

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
wadau litazameni na hili,wakati serikali ya jk ikishindwa kununua city scan moja kwa ts 350 mil imetenga bil 3 kwa ajili ya maandazi wizara ya afya.
Bei ya checkup ya hiyo mashine pale muhimbili ni 170000.
Sasa hivi nchi haina mashine hata moja inayofanya kazi.
Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa sikika.
 
haya ndiyo yanayozungumzwa na madaktari ambayo wanasiasa wanajaribu kuyazima.ni vyema yakarudiwa ili wananchi wayasikie na kuyaelewa
 
kipaumbele chake ni kuuwa wale wote wanapwaambia watanzania ukweli.
pili matumizi ya hanasa kwa mabo yasiyokuwa na umuhimu.
 
Unaposema maandazi unamaanisha nini fafanua, hizi narrations za matumizi ya serikali muwe mnazisoma kwa makini usione maandazi ukafikiri yale maandazi ya chai inaweza kuwa na maana pana zaidi.
 
Unahitaji maombi wewe unayelipwa kwa kupost upuuzi wako.SHAME ON YOU

Hapa kazini kwetu tuna account ya Chai lakini vinaingia vitu vingi includding Maji, Vikombe, Vitu vya jikoni, microwave tukinunua, glass, wakina wageni tukiwapa soda, tukiitisha ka mkutano tunanunua biskuti, Kahawa, tunaweza itia take away msosi nk mwisho wa mwaka unaweza kukuta imetumia milioni kadhaa si ajabu kwakuwa inafahamika.

Ndio nasema msikurupuke tu Chai Billioni 3 angalieni kwanza Chai hapo wizarani ina include nini na nini pengine kila mkutano ukifanyika nje ya ofisi mfano Kempinski hiyo account ya Chai ndio inahusika.
 
sawa tuu, kwani ct scan utashiba? utapanda kwenda ulaya? utahonga? kwani huduma za afya ni muhimu sana,?? ifikie mahali watanzania tuweze ku identify vipaumbele vya serikali yetu SIKIVU! au sio Zomba, Majebere,Ritz,Tume ya katiba,MAMA POROJO,Tume, maundumula and the like!
 
wadau litazameni na hili,wakati serikali ya jk ikishindwa kununua city scan moja kwa ts 350 mil imetenga bil 3 kwa ajili ya maandazi wizara ya afya.
Bei ya checkup ya hiyo mashine pale muhimbili ni 170000.
Sasa hivi nchi haina mashine hata moja inayofanya kazi.
Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa sikika.
Tatizo ni namna tunavyopata viongozi wetu. Kuna watu ambao hawawezi hata kuongoza familia Leo wanaongoza nchi. Mkombozi wetu ni katiba. Wandugu tushiriki mchakato huu kuweka misingi itakayotuongoza.
 
Mimi silaum hata kama chai wizarani ingekuwa 3 tril,hoja hapa ni ct scan hamna na ni mil 350 je kwa serikali chai ya bil 3 ni muhimu kuliko hiyo mashine?
 
Vipaumbele kupiga picha na bekham,kwenda ulaya mwezi mara 3.kutesa na kuua wanaopinga sirikali.
 
wadau litazameni na hili,wakati serikali ya jk ikishindwa kununua city scan moja kwa ts 350 mil imetenga bil 3 kwa ajili ya maandazi wizara ya afya.
Bei ya checkup ya hiyo mashine pale muhimbili ni 170000.
Sasa hivi nchi haina mashine hata moja inayofanya kazi.
Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa sikika.
CT scan pale muhimbili tumekuwa tukidanganywa kila siku kuwa ni mbovu miezi 6 wakati ina zaidi ya mwaka sasa na ukilinganisha bei kwa muhimbili km inafanya kazi ni sh 50000 kwa mgonjwa ambaye hayuko kwenye fast truck ni bei ambayo walau mwananchi wa kawaida anaweza kujipigapiga akalipa. Lkn kitendo cha serikali kuelekeza vipaumbele vyake kwenye chai bilioni 3 na checkup za wastaafu nje ya nchi bilioni 9 kwa kweli ni sawa na kuwaona watanzania wajinga ndo maana huwa wanasema hata tule nyasi lazima ndege ya rais inunuliwe.
 
Kuhakikisha mtu anayetumia jina la jakaya anakanyaga udongo wa kila nchi ya dunia hii, wanaelekea kufanikiwa
 
jana itv kuna docta alisema ile ctscan ilnunuliwa mwaka 1994 wakati wa mwinyi sasa shangaa shangingi la mkapa kila mwaka ananunuliwa mpya ,,,,,,,,tume ya katiba nao wamenunuliwa mpya kibao
 
Back
Top Bottom