Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 21,581
- 42,891
Kiswa ya Kaaba (kitambaa maalum kinafunika Al Kaaba) ilisafirishwa kutoka Saudi Arabia kwenda kwa Jeffrey Epstein, huku umuhimu wake wa kidini ukielezwa wazi katika barua pepe.
Nani walihusika?
Aziza Al-Ahmadi (mwanamke Msauidi anayeishi UAE) alituma barua pepe tarehe 22 Machi 2017 akieleza kuhusu kitambaa cha Kaaba, akisema kuwa kiliguswa na angalau Waislamu milioni 10 wakati wa tawafu, na kinabeba dua, machozi na matumaini yao
Jeffrey Epstein alikuwa mpokeaji wa mwisho; mzigo ulipelekwa nyumbani kwake St. Thomas kupitia kampuni ya LSJE LLC
Daphne Wallace, mshirika wa Epstein, aliratibu upokeaji na usafirishaji
Abdullah Al-Maari alisimamia uratibu upande wa Saudi Arabia
Stauffer alisimamia masuala ya usafirishaji, forodha, na usafiri
Je, Saudi Arabia itasema nini kuhusu jambo hili?
adriz ukienda Makkah na mimi niletee Kiswa nitumie kama carpet home kwangu
Jagina
Mcmillan de Maghayo
MK254
Al Mukheef