believer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 639
- 216
Katika kipindi hiki cha mvua ni vema tukajulishana maeneo ambayo barabara huteleza.
Hii itasaidia madereva wageni katika maeneo mbalimbali nchini,
Mfano wangu au tahadhari yangu kwa wadau ni kipande cha kuanzia Dumila hadi Gairo madereva wawe makini barabara inateleza balaa.
Wadau tuabalishane maeneo mengine!