Vipaji vingine bora uende darasani tu.

Vipaji vingine bora uende darasani tu.

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,028
Reaction score
59,657
hapa ni huko mbagala kiota kipya msanii akionyesha kipaji chake cha kukalia chupa.
take a closer look
11.jpg
 
Sinywi tena Soda za kwenye chupa wala bia.

Itabidi waanze kutengeneza chupa kubwa mdomoni.
 
Sinywi tena Soda za kwenye chupa wala bia.

Itabidi waanze kutengeneza chupa kubwa mdomoni.
mkuu mimi soda nimeachana nazo..io chupa unaiona lakini kichwa chake kilipo?
 
Halafu chini kuna tangazo la bia ya NDOVU, Aghhhhh............
 
Kweli vipaji vingine ni balaa
Duh halafu hiyo chupa mwe
 
kazi ni kazi bora mkono uende kinywani, kuliko kuwa mwizi heri kuwa mbunifu.
 
Bora kujiajiri kwa jinsi hiyo kuliko kuwa kibaka, wakakufungia tairi shingoni na kukuchoma moto.
 
Bora kujiajiri kwa jinsi hiyo kuliko kuwa kibaka, wakakufungia tairi shingoni na kukuchoma moto.
Kweli mkuu unasapoti mtu kujiingizia chupa mata.koni mbele ya hadhara wakiwemo watoto! Je mtoto akiiga akaenda kujaribu nyumbani! huoni kuna madhara hapo?
 
akiendelea kukalia hiyo chupa kila siku hiyo chupa itaishilia tumboni ataanza kukalia tena chupa ya bia. Mia
 
Nimejikuta ninacheka tu na mihasira yangu yote niliyoamka nayo imenitoka.....
 
Duh kijana inaonekana mzoefu!! haogopi hata kidogo tamko la cameroon wala obama!!!!:lol:
 
huyu anahamasisha mambo ya devid cameroon, hapo anamaanisha kuwa kama chupa ya soda inawezaku.............. je mambo mengine? acheni uoga. ila kama una mtoto anayependa kufanyia zoezi kila anachokiona du, hapo msalie mtume maana balaa lake sijui litaishia wapi.
 
Back
Top Bottom