VIP only

Ngida1, karibu tena, safari hii we bana hapa hapa kwenye matangazo, hakuna presha wala nini..guaranteed

Nd. Triplets,
Hayo uyasemayo ni ya kweli tupu. Nitabanisha hapa hapa nikingojea kumsaidia KIGOGO kujaza hizo forms za dada zetu kuingia VIP!
 
Mkuu si ulishatuaga weye?

si tulimshauri abaki, ila kwa ajili ya kulinda afya yake asikanyage kule ukumbi wa siasa, amefuata ushauri ...sasa ndio yupo hapa ubao wa matangazo anasaidia kwenye masuala ya hizi fomu spesho za VIP...
 
mwanamtama ni pm nifanye mpango wa kukuingiza huko japo mie mwenyewe sipo usikonde kabisa yani!!!
 
mimi sielew maana ya pm, jm, sm mnihabarishe tofauti yake inakuwaje mpaka ukapata hizo title tofauti
 
si tulimshauri abaki, ila kwa ajili ya kulinda afya yake asikanyage kule ukumbi wa siasa, amefuata ushauri ...sasa ndio yupo hapa ubao wa matangazo anasaidia kwenye masuala ya hizi fomu spesho za VIP...

Nd. Triplets,
Hio ni sawa sawa kabisa na ni kweli nimefuata ushauri na nitaendelea kuufuata ushauri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom