Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
Wadau, hivyi mnajua kuna makanisa yametenga siti maalum kwa watu (VIP) fulani n ukikaa hizo siti lazima utanyanyuliwa. Ukiuliza sababu unaambiwa wewe utaweza kulipa 250,000 kila jumapili kama sadaka? hivyi dini ndiyo imekuwa biashara kiasi hicho?
Naomba kutofautiana na wewe na kusema hiyo siyo kweli. Mimi ni muumini wa kawaida, na kwa maelezo yako unazungumzia Usharika wa Azania Front. Nina mfano wa kuthibitisha kuwa hilo unalosema siyo kweli. Miaka ya nyuma nilipata kutoa sadaka maalumu hapo usharika wa Azania. Kwavile tuliwahi sana kufika, tulikaa bench la mbele kabisa ili iwe rahisi ukifika wakati wa kwenda mbele tusipate usumbufu, HAKUNA aliyekuja kutuomba tutoke au tuhame. Utaratibu gani huo wa siri? Hebu weka wazi basi. Hapo nyuma nimeeleza kuwa kutokana na nafasi ya baadhi ya viongozi, ni kweli lazima watengewe nafasi maalum kwenye nyumba za ibada. Na naamini hii ni kwa madhehebu yote, na haina uhusiano na kiasi cha sadaka anayotoa mtu.
Tuko pamoja mkuu.Mzawa Halisi,
Kwa jinsi nilivyomuelewa Ngongo, KKKT mjini kati ni usharika uliopo mjini Arusha, na baadhi ya watu aliowataja (Mfano Mzee Mshiu) wanasali Mjini Kati Arusha. Na siyo Azania front jijini Dar.
Ni vyema wanajamii kujua kuwa kwa upande wa viongozi wetu wakuu, hasa wa serikali. Kila mahali atakapokuwa lazima suala la usalama wake linapewa kipau mbale, hivyo watu wa usalama watamshauri ni sehemu gani bora yeye akae. Siyo kanisani, au msikitini tu, bali hata katika harusi, misiba nk huwa wanakuwa na sehemu zao za kuketi.
Masaiti.
kwa mama mikocheni kuna viti vya watu maalumnaomba niyataje hayo makanisa na vip seats.
1.azania front
edward lowasa huyu alipewa kiti cha mbele kushoto
2.saint joseph cathedral na some times saint peters oysterbay.
benny mkapa mbele kulia
Wadau, hivyi mnajua kuna makanisa yametenga siti maalum kwa watu (VIP) fulani n ukikaa hizo siti lazima utanyanyuliwa. Ukiuliza sababu unaambiwa wewe utaweza kulipa 250,000 kila jumapili kama sadaka? hivyi dini ndiyo imekuwa biashara kiasi hicho?
Mi nina mfano halisi wa mtu aliondolewa kiti cha mbele na mmpaka leo ameacha kusali na ni pale azaniaTuambie ushawahi kukaa wanapokaa ukafukuzwa!?? Hii mimi naona ni mazoea tu mtu unakuwa umezoea kukaa sehemu moja mpaka hata wasahrika wenzanko wanacram kama ni siti yako!!!
Wadau, hivyi mnajua kuna makanisa yametenga siti maalum kwa watu (VIP) fulani n ukikaa hizo siti lazima utanyanyuliwa. Ukiuliza sababu unaambiwa wewe utaweza kulipa 250,000 kila jumapili kama sadaka? hivyi dini ndiyo imekuwa biashara kiasi hicho?
Wadau, hivyi mnajua kuna makanisa yametenga siti maalum kwa watu (VIP) fulani n ukikaa hizo siti lazima utanyanyuliwa. Ukiuliza sababu unaambiwa wewe utaweza kulipa 250,000 kila jumapili kama sadaka? hivyi dini ndiyo imekuwa biashara kiasi hicho?
Wewe ni mwongo na mzushi. Mwogope MUNGU.
Mi nina mfano halisi wa mtu aliondolewa kiti cha mbele na mmpaka leo ameacha kusali na ni pale azania
Ninapotaka mimi ni hapo tu! Chondechonde nakuomba hebu toboa hiyo siri tujue kilichomo.rmashauri kabla hujamwita Mbonea mwongo, tembea uone.
Huu ubishi wako utachokoza mambo mengine ambayo wachungaji wako watakulamu kwa kuyachokoza.
Duniani kote sasa hivi kuna uhuni mkubwa sana unaendelea makanisani kwa sababu ya uongozi wa makanisa mengi kushikwa na watu wenye kupenda fedha na anasa za dunia.
Usitufanye tukamwaga hapa hadharani majina ya makanisa yanayotumika kuendesha biashara haramu.......naomba niishie hapo.
Ujue tu tuna mengi..yanatuumiza sana mioyo...unafiki unakera sana.
Nazima kompyuta nikae chini niugulie maumivu, halafu niamue nirudi jamvini kutoboa siri hadharani au lah!!!!!!TUNA MENGI SANA NA TENA TUNA USHAHIDI WA KUTOSHA!!!!!!!!!