VIP Attitude kwenye maofisi Bongo; kwanini watu wanajishebedua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIP Attitude kwenye maofisi Bongo; kwanini watu wanajishebedua?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mzee Mwanakijiji, May 21, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  [h=6][​IMG][/h][h=6]
  Ni kweli hili? Hivi umewahi kwenda kwenye ofisi ya mtu au ofisi ya kampuni fulani na baada ya kufika pale ukajikuta unagandishwa pasipo ulazima wowote ule? Aidha jamaa atachelewa kutoka ili umsubiri ajione "fulani" au watu wa chini wanajisumbua sumbua ili na wao wajione kkuwa wana amari juu yako? Jana dadangu kaenda kwenye mojawapo ya ofisi kubwa tu Jijini hadi anarudi jioni hana hamu.. Kasumbuliwa na sekretari! Ati sekretari alisahau kuwa "bosi" alikuwa ameshatoka masaa mawili nyuma!!! SIJUI alipitia mlango gani! Hili ni la kawaida au ni nadra?
  [/h]
   
 2. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  HAPA SIO PAKE :A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  heri huyo alisumbuliwa na sekretari......

  Mie nilisumbuliwa masijala, nilisimama mlangoni nawaita halafu wakanitazama na kuendelea na shughuli zao.........

  Kuna maofisi yana mambo we acha tu....
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  TRA kuna siku nilitaka nizabue watu vibao.......kuna matatizo sana hasa ofisi za serikali.......
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mbaya zaidi ni kama umekondeana kama TANMO na afya siyo presentable. Yaani hadi mlinzi atataka umweleze shida yako kabla hajakuruhusu kuingia ndani. Labda hii nayo inachangia suala la watu ku-entertain vitambi kwa matarajio ya kuthaminiwa ili kuepusha hizi longolongo.
   
 6. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ni tatizo kubwa sana..na wanao sumbua ni hawa sekretari,walinzi na wafagiaji....Nilienda kwenye interview mahali flan balaa...mlinzi kaniambia boss huwa hana appointment muda huo ambao mie nimeambiwa nije kwenye interview.

  Bahati nzuri mawasiliano ya simu yalikuwa yamesha ingia nika mpigia simu na boss akaja kunichukua mwenyewe....ogopa kutembea na bahasha ya kaki kwenye gate za office mbali mbali ...wanafikili umekuja chukua kazi zao.

  Mlinzi hakuamini kilicho tokea kwani kazi nilipata siku hiyo na kuanza mchana wake...

  Ni maisha tu.
   
 7. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Ukizoea haikupi shida sana ila kwa kweli inaboa mno...
   
 8. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Masekretari hawataki competition. Wanalinda himaya zao.
   
Loading...