Viongozi Wetu Tuhurumieni

Viongozi Wetu Tuhurumieni

Watuhurumie jamani maana maisha yamekuwa magumu sanaaa.

Leo hii mimi nalala njaa hapa kwa sababu ya hali kuwa ngumu.


Eeee Mungu tusaidie.
Pole sana Mkuu.
Ipo siku mambo yatakuwa poa.
Tuvumilie tu.
 
Back
Top Bottom