Chakunyuma
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 810
- 152
- Thread starter
-
- #21
Unyonge wa moyo , kutojiamini , kasumba , kukosa ufahamu.
Kwa mtu anaejiamini na kujitambua hasumbuliwi na vyeo / title za kidunia.
avue zaidi?
Ka-PhD na wewe unako???Mwanamama Condoleezza Rice pia ana Ph.D, lakini ni mara nadra sana kumsikia akijitambulisha kwa udokta wake. Sijajua sie waswahili kwa nini tunashoboka sana na tu-Ph.D 'twetu'
Ka-PhD na wewe unako???
Unapokuwa na takribani watu mil 45 - ktk East Africa unaongoza kwa illiteracy rate, unategemea nn?
Pia ana wake watatu na anawaweka hadharani. Ana kimada huko Mbabane Swaziland nacho kakiweka hadhani watu wanajua. Aliwahi kufanya ngono zembe na mfanyakazi wa ndani aliyekuwa na mambukizi ya ukimwi na baada ya tendo akaenda akanawa na hakupa ukimwi; hili pia aliliweka wazi mbele ya mahakama. Si ajabu kuweka wazi hilo la kukosa formal education! Hapa kwetu kiongozi gani anaweza kuwa muwazi kiasi hicho. At least mmoja amewahi kuwa muwazi kidogo kuhusu mahusiano.Ona Zuma hafichi kitu.
Zuma was born in Nkandla, Zululand (now part of KwaZulu-Natal). His father was a policeman who died when Zuma was still a young iboy, and his mother a domestic worker.
He received no formal schooling.
As a child, he was constantly moving between Zululand and the suburbs of Durban in the area of Umkhumbane (near Chesterville). He has two brothers, Michael and Joseph.
Sasa viongozi wetu wana nini kwa nini sio wa wazi na sio wakweli wanafanya hivyo kwa faida ya nani?
Hapa kwetu hakuna wote wanataka tuwaone wasafi lakini mambo yao wanafanya chini kwa chini na ndio maana tunaendelea taratibu mno kutokana na usiri huu. Yaani mtu ni incompetent lakini kwa sababu kaficha basi wananchi hatujui tunastuka tumeshamchagua. sijui dawa ya haya ni nini? Yaani watz tufanye nini ili viongozi wetu wawe wa wazi na wakweli.Pia ana wake watatu na anawaweka hadharani. Ana kimada huko Mbabane Swaziland nacho kakiweka hadhani watu wanajua. Aliwahi kufanya ngono zembe na mfanyakazi wa ndani aliyekuwa na mambukizi ya ukimwi na baada ya tendo akaenda akanawa na hakupa ukimwi; hili pia aliliweka wazi mbele ya mahakama. Si ajabu kuweka wazi hilo la kukosa formal education! Hapa kwetu kiongozi gani anaweza kuwa muwazi kiasi hicho. At least mmoja amewahi kuwa muwazi kidogo kuhusu mahusiano.
Huko marekani uprofessor ni wa chuo kikuu hakuna uprofessor kwenye siasa. kama wewe ni professor wa chuo ikiwa mwanasiasa inaachana na title ya u professor kama akina Obama na Rice. Hapa kwetu mganga wa kienyeji anatumia jina prof. anatinga bungeni na bado anaonekana kuwa addressed kama professor! Ma dr. fake wanajulikana lakini bado wanaitwa ma dr katika taarifa rasmi za bunge na serikali!Du! nami nitaitwa prof. Mcheza karate kuanzia leo. Kumbe unajiita tu hata zile ulizopewa kwa ukarimu ulipowatembelea RUKO, TEKU, SEKUKO, st. JOHN nk. Aaaaa hii nchi hadi kichefuchefu.