Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
Anashangaa Meya na Mbunge wa Kinondoni kutokuwepo Biafra wakati ameshindwa kushangaa viongozi hao hao alivyowazuia kuzungumza na umma wao!?
Nani amesahau Meya wa Jiji na Waitara walivyodharauliwa mbele yake tena kwa maneno ya kejeli 'siwezi kulisha mtoto wa jirani"?
Kubwa kuliko, hakuna mapenzi ya kweli dhidi ya watu wa upinzani...wanabaguliwa, wanadharauliwa, wanadhihakiwa kama hawana Haki.
Wacha Ujumbe uendelee kusambaa!