Kwani wale wote unaowadharau wamepata madhara yapi? Who are you by the way?Kama huyo mama naye amehusika nitamdharau sana!
Kwani wale wote unaowadharau wamepata madhara yapi? Who are you by the way?Kama huyo mama naye amehusika nitamdharau sana!
anaitwa Dr Benhajj Shaaban Masoud , yasemekana alikuwa Tanga na amehamishiwa Dsm kwa shughuli hii maalumNi jaji gani huyo?
ingia Jukwaa la siasa mkuu tafuta hii kitu ( Siri ya Mutungi na Lipumba yavuja )
You would have asked your Mommy!Kwani wale wote unaowadharau wamepata madhara yapi? Who are you by the way?
Hawa ni vilanja wa vilazaNa akili za hawa unazionaje?
View attachment 1024655View attachment 1024656
Sent using Jamii Forums mobile app
Thibitisha! Tatizo lako unadhani unajua kila kitu na habari ikitolewa na mtu asiye wa upande wako basi ni ya uzushi! Unasahau kuwa wahusika waliotajwa kuhusika wapo hai na kwa kuwa suala hili linawagusa moja kwa moja basi ni bora wakalijibia wenyewe kwani wanaochafuliwa ni wao na siyo wewe!akili za wadeki lami kazi kweli.hakuna ukweli wowote
kipara kipyaUsisumbuke na hawa vijana. Wana ID mbili, moja ni ya kuingizia kipato, ya pili ndo wanakua wenyewe. Balaa linakuja akisahau amelogin Kwa ID hipi
Mbowe alitajwa kama kinara kuhusika na kifo cha Chacha Wangwe,mbona hukumshauri ajiuzulu?Huu ni ushauri tu tena ushauri wa busara kabisa , kutajwa kwao kama vinara wa kumlipa jaji zaidi ya mil 300 ili kumbeba Lipumba kwa lengo la kudhulumu haki ya CUF , ni aibu kubwa kwao na ni fedheha kwa Taifa.
Viongozi wawili wa ngazi za juu ambao wote ni wenye asili ya Zanzibar wanatajwa kujidhalilisha na kuamua kumhonga jaji aliyeshika faili lenye hukumu ya kesi ya Lipumba na wasaliti wenzake dhidi ya cuf ili kumbeba Lipumba , Kiongozi mwanamke ametajwa kutoa zaidi ya mil 150 huku yule kiongozi mwanaume akitoa zaidi ya mil 200 , hii ni aibu kubwa sana !
Ushauri wangu kwao na ambao ndio wa pekee unaofaa ni kwa wao kujiuzulu tu .
Huyo ni bashite ana ID kama 100 annanzisha thread nakujijibu yaani yeye amemchukulia Magufuli kama msukule akissha ziandika na kujijibu anaenda kumwambia mzee wewe ndio raisi peke pend wa tangu uhuru
Kwa hiyo amekutuma wewe housegirl wake?hadhi ya samia usiilinganishe na mamako.hawezi kuja kujibu upuuzi wa mitandao
Huyu Mbowe aliye wekwa mahabusu kutokana na tukio la Aqwilin? Kama ndiye Ilishindikana vipi kukamatwa kuhusiana na kifo cha Wangwe?Mbowe alitajwa kama kinara kuhusika na kifo cha Chacha Wangwe,mbona hukumshauri ajiuzulu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Targets za kisiasa huwezi kulinganisha na uhalisia sasa Magufuli si alimtaja kwenye kampeni na alisema anamfungulia mahakama ya ufisadi mbona hajamkamata kumsweka ndaniKwa Hawa watoa tuhuma wa kibongo nani ajiuzulu? Wanaoweza kutoa tuhuma kwa mtu kwa miaka 8 mfululizo na halafu ndani ya masaa 2 wanageuka kutushawishi eti mtuhumiwa wao anafaa kuwa kiongozi mkuu. Ni wale wale kiongozi yeyote akiwa kwao ni safi na alikross border anakuwa hastahili hata kuishi.
akirudi kujibu nistue mkuuTargets za kisiasa huwezi kulinganisha na uhalisia sasa Magufuli si alimtaja kwenye kampeni na alisema anamfungulia mahakama ya ufisadi mbona hajamkamata kumsweka ndani
Umenifanya nijisikie na furaha ...lakini usinidhulumu naomba chanzo cha taarifaHuu ni ushauri tu tena ushauri wa busara kabisa , kutajwa kwao kama vinara wa kumlipa jaji zaidi ya mil 300 ili kumbeba Lipumba kwa lengo la kudhulumu haki ya CUF , ni aibu kubwa kwao na ni fedheha kwa Taifa.
Viongozi wawili wa ngazi za juu ambao wote ni wenye asili ya Zanzibar wanatajwa kujidhalilisha na kuamua kumhonga jaji aliyeshika faili lenye hukumu ya kesi ya Lipumba na wasaliti wenzake dhidi ya cuf ili kumbeba Lipumba , Kiongozi mwanamke ametajwa kutoa zaidi ya mil 150 huku yule kiongozi mwanaume akitoa zaidi ya mil 200 , hii ni aibu kubwa sana !
Ushauri wangu kwao na ambao ndio wa pekee unaofaa ni kwa wao kujiuzulu tu .
Hii ilikuwa habari baada ya ushahidi wa uhakika sana kwenye nyuzi zingine kwamba hela imetolewa na vigogo , mimi niliwashauri tu kwamba baada ya tuhuma zile wajitathminiUmenifanya nijisikie na furaha ...lakini usinidhulumu naomba chanzo cha taarifa