Viongozi waliotajwa kumhonga Jaji wa Kesi ya Lipumba dhidi ya CUF ni vema wakajiuzulu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,368
2,000
Huu ni ushauri tu tena ushauri wa busara kabisa , kutajwa kwao kama vinara wa kumlipa jaji zaidi ya mil 300 ili kumbeba Lipumba kwa lengo la kudhulumu haki ya CUF , ni aibu kubwa kwao na ni fedheha kwa Taifa.

Viongozi wawili wa ngazi za juu ambao wote ni wenye asili ya Zanzibar wanatajwa kujidhalilisha na kuamua kumhonga jaji aliyeshika faili lenye hukumu ya kesi ya Lipumba na wasaliti wenzake dhidi ya cuf ili kumbeba Lipumba , Kiongozi mwanamke ametajwa kutoa zaidi ya mil 150 huku yule kiongozi mwanaume akitoa zaidi ya mil 200 , hii ni aibu kubwa sana !

Ushauri wangu kwao na ambao ndio wa pekee unaofaa ni kwa wao kujiuzulu tu .
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
26,149
2,000
akili za wadeki lami kazi kweli.hakuna ukweli wowote
Na akili za hawa unazionaje?
tapatalk_1549934196178.jpeg
tapatalk_1549934205033.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hey

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
663
1,000
Uwezekano wa hayo nadhani haupo. La kujifunza kwa mara nyingine (Flash ya Nasari, sakata la CAG) ni jinsi wenzetu wanaoamini tuna mapambano ya rushwa na huwa wa kwanza kuita wananaohoji "wapiga dili" waliozuiwa mianya wanavyozikimbia nyuzi hizi.

Inawezekana ni uongo na propaganda lakini basi hata mtuonyeshe mnaguswa kwa kutaka hata uchunguzi usio huru.
 
madaraka hulevya
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,368
2,000
Aisee... Kweli huko lumumba hamna aliye msafi, yule mama na ushungi wake nilikua namwona kama walau ana chembechembe za uadilifu kumbe nilikua nakosea sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulidanganyika tu , hana uadilifu wowote wala hakuwahi kuwa nao , ungemfuatilia kwenye bunge la Katiba bila shaka ungejiridhisha na wala usingeshangaa
 
KWADWO ABIMBOLA

JF-Expert Member
Jan 8, 2019
763
1,000
Huu ni ushauri tu tena ushauri wa busara kabisa , kutajwa kwao kama vinara wa kumlipa jaji zaidi ya mil 300 ili kumbeba Lipumba kwa lengo la kudhulumu haki ya CUF , ni aibu kubwa kwao na ni fedheha kwa Taifa.

Viongozi wawili wa ngazi za juu ambao wote ni wenye asili ya Zanzibar wanatajwa kujidhalilisha na kuamua kumhonga jaji aliyeshika faili lenye hukumu ya kesi ya Lipumba na wasaliti wenzake dhidi ya cuf ili kumbeba Lipumba , Kiongozi mwanamke ametajwa kutoa zaidi ya mil 150 huku yule kiongozi mwanaume akitoa zaidi ya mil 200 , hii ni aibu kubwa sana !

Ushauri wangu kwao na ambao ndio wa pekee unaofaa ni kwa wao kujiuzulu tu .
Kwanini hao viongozi wajiuzulu na jaji abaki salama? Ingekuwa vyema hao viongozi na jaji husika waswekwe kwenye mahakama ya mafisadi. Kujiuzulu tu haitoshi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom