Viongozi waliotajwa kumhonga Jaji wa Kesi ya Lipumba dhidi ya CUF ni vema wakajiuzulu

Usisumbuke na hawa vijana. Wana ID mbili, moja ni ya kuingizia kipato, ya pili ndo wanakua wenyewe. Balaa linakuja akisahau amelogin Kwa ID hipi
Kweli mkuu huwa tunaoa, kuna siku Wakudadagua aalijichnganya kwenye ID zake aka post mada moja kwenye ID tatu tofauti, tulivyomfuma alikaa kama miezi mitatu bila kuonekana humu karudi juzi tu.
 
Huu ni ushauri tu tena ushauri wa busara kabisa , kutajwa kwao kama vinara wa kumlipa jaji zaidi ya mil 300 ili kumbeba Lipumba kwa lengo la kudhulumu haki ya CUF , ni aibu kubwa kwao na ni fedheha kwa Taifa.

Viongozi wawili wa ngazi za juu ambao wote ni wenye asili ya Zanzibar wanatajwa kujidhalilisha na kuamua kumhonga jaji aliyeshika faili lenye hukumu ya kesi ya Lipumba na wasaliti wenzake dhidi ya cuf ili kumbeba Lipumba , Kiongozi mwanamke ametajwa kutoa zaidi ya mil 150 huku yule kiongozi mwanaume akitoa zaidi ya mil 200 , hii ni aibu kubwa sana !

Ushauri wangu kwao na ambao ndio wa pekee unaofaa ni kwa wao kujiuzulu tu .
Ni hatari Sana Lipumba ingekuwa yupo Burundi kashapotea kwenye Ramani ya Dunia.
 
Huu ni ushauri tu tena ushauri wa busara kabisa , kutajwa kwao kama vinara wa kumlipa jaji zaidi ya mil 300 ili kumbeba Lipumba kwa lengo la kudhulumu haki ya CUF , ni aibu kubwa kwao na ni fedheha kwa Taifa.

Viongozi wawili wa ngazi za juu ambao wote ni wenye asili ya Zanzibar wanatajwa kujidhalilisha na kuamua kumhonga jaji aliyeshika faili lenye hukumu ya kesi ya Lipumba na wasaliti wenzake dhidi ya cuf ili kumbeba Lipumba , Kiongozi mwanamke ametajwa kutoa zaidi ya mil 150 huku yule kiongozi mwanaume akitoa zaidi ya mil 200 , hii ni aibu kubwa sana !

Ushauri wangu kwao na ambao ndio wa pekee unaofaa ni kwa wao kujiuzulu tu .
Kutumumiwa kutoa Rushwa Ni Kashfa tosha ya kiongozi yeyote kujiuzulu ili kupisha uchunguzi huru.
Ila kwa nchi yetu hii ilikofikishwa na utawala huu,watafungwa watoa habari hi(Whistle blowers).
 
hadhi ya samia usiilinganishe na mamako.hawezi kuja kujibu upuuzi wa mitandao
Kwa kuwa yeye hakuzaliwa na walla hatakufa. Kujibu siyo lazima kupitia jukwaa hili. Ana watu was kufuatilia habari zinazomhusu. Kilangila.
 
Huu ni ushauri tu tena ushauri wa busara kabisa , kutajwa kwao kama vinara wa kumlipa jaji zaidi ya mil 300 ili kumbeba Lipumba kwa lengo la kudhulumu haki ya CUF , ni aibu kubwa kwao na ni fedheha kwa Taifa.

Viongozi wawili wa ngazi za juu ambao wote ni wenye asili ya Zanzibar wanatajwa kujidhalilisha na kuamua kumhonga jaji aliyeshika faili lenye hukumu ya kesi ya Lipumba na wasaliti wenzake dhidi ya cuf ili kumbeba Lipumba , Kiongozi mwanamke ametajwa kutoa zaidi ya mil 150 huku yule kiongozi mwanaume akitoa zaidi ya mil 200 , hii ni aibu kubwa sana !

Ushauri wangu kwao na ambao ndio wa pekee unaofaa ni kwa wao kujiuzulu tu .
Mbona mbowe Mara kibao anatajwa katika ufisadi wa ruzuku na hamumshauri kujiuzuru?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ushauri tu tena ushauri wa busara kabisa , kutajwa kwao kama vinara wa kumlipa jaji zaidi ya mil 300 ili kumbeba Lipumba kwa lengo la kudhulumu haki ya CUF , ni aibu kubwa kwao na ni fedheha kwa Taifa.

Viongozi wawili wa ngazi za juu ambao wote ni wenye asili ya Zanzibar wanatajwa kujidhalilisha na kuamua kumhonga jaji aliyeshika faili lenye hukumu ya kesi ya Lipumba na wasaliti wenzake dhidi ya cuf ili kumbeba Lipumba , Kiongozi mwanamke ametajwa kutoa zaidi ya mil 150 huku yule kiongozi mwanaume akitoa zaidi ya mil 200 , hii ni aibu kubwa sana !

Ushauri wangu kwao na ambao ndio wa pekee unaofaa ni kwa wao kujiuzulu tu .
Hata huyo jaji kama ni kweli ameinajisi mahakama owe ni kweli au uzushi hastahili kuendelea na hili shauri
 
dah !
IMG_20190214_064606.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20190214_064606.JPG
    IMG_20190214_064606.JPG
    58.5 KB · Views: 18
Huu ni ushauri tu tena ushauri wa busara kabisa , kutajwa kwao kama vinara wa kumlipa jaji zaidi ya mil 300 ili kumbeba Lipumba kwa lengo la kudhulumu haki ya CUF , ni aibu kubwa kwao na ni fedheha kwa Taifa.

Viongozi wawili wa ngazi za juu ambao wote ni wenye asili ya Zanzibar wanatajwa kujidhalilisha na kuamua kumhonga jaji aliyeshika faili lenye hukumu ya kesi ya Lipumba na wasaliti wenzake dhidi ya cuf ili kumbeba Lipumba , Kiongozi mwanamke ametajwa kutoa zaidi ya mil 150 huku yule kiongozi mwanaume akitoa zaidi ya mil 200 , hii ni aibu kubwa sana !

Ushauri wangu kwao na ambao ndio wa pekee unaofaa ni kwa wao kujiuzulu tu .
Upuuzi uliopitiliza kutuletea habari za kishambenga

Bila kutaja majina ya hao viongozi huu uzi unapoteza thamani
 
Kutumumiwa kutoa Rushwa Ni Kashfa tosha ya kiongozi yeyote kujiuzulu ili kupisha uchunguzi huru.
Ila kwa nchi yetu hii ilikofikishwa na utawala huu,watafungwa watoa habari hi(Whistle blowers).
Kwa Hawa watoa tuhuma wa kibongo nani ajiuzulu? Wanaoweza kutoa tuhuma kwa mtu kwa miaka 8 mfululizo na halafu ndani ya masaa 2 wanageuka kutushawishi eti mtuhumiwa wao anafaa kuwa kiongozi mkuu. Ni wale wale kiongozi yeyote akiwa kwao ni safi na alikross border anakuwa hastahili hata kuishi.
 
Back
Top Bottom