Viongozi waliotajwa kumhonga Jaji wa Kesi ya Lipumba dhidi ya CUF ni vema wakajiuzulu

akili za wadeki lami kazi kweli.hakuna ukweli wowote
Thibitisha! Tatizo lako unadhani unajua kila kitu na habari ikitolewa na mtu asiye wa upande wako basi ni ya uzushi! Unasahau kuwa wahusika waliotajwa kuhusika wapo hai na kwa kuwa suala hili linawagusa moja kwa moja basi ni bora wakalijibia wenyewe kwani wanaochafuliwa ni wao na siyo wewe!
Isitishe, wewe siyo msemaji wao hivyo kaa kimya na waache waje kujitetea wenyewe!
 
Huu ni ushauri tu tena ushauri wa busara kabisa , kutajwa kwao kama vinara wa kumlipa jaji zaidi ya mil 300 ili kumbeba Lipumba kwa lengo la kudhulumu haki ya CUF , ni aibu kubwa kwao na ni fedheha kwa Taifa.

Viongozi wawili wa ngazi za juu ambao wote ni wenye asili ya Zanzibar wanatajwa kujidhalilisha na kuamua kumhonga jaji aliyeshika faili lenye hukumu ya kesi ya Lipumba na wasaliti wenzake dhidi ya cuf ili kumbeba Lipumba , Kiongozi mwanamke ametajwa kutoa zaidi ya mil 150 huku yule kiongozi mwanaume akitoa zaidi ya mil 200 , hii ni aibu kubwa sana !

Ushauri wangu kwao na ambao ndio wa pekee unaofaa ni kwa wao kujiuzulu tu .
Mbowe alitajwa kama kinara kuhusika na kifo cha Chacha Wangwe,mbona hukumshauri ajiuzulu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majaji wamecompromise na Msomi wa PhD fake hawapo kwa manufaa ya nchi Bali matumbo yao ukiona jaji yupo tayari nchi itumbukie kwenye umwagaji damu ujuwe hao sio majaji Bali wa fanya biashara wa kuuwa haki za binadamu
 
Mbowe alitajwa kama kinara kuhusika na kifo cha Chacha Wangwe,mbona hukumshauri ajiuzulu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mbowe aliye wekwa mahabusu kutokana na tukio la Aqwilin? Kama ndiye Ilishindikana vipi kukamatwa kuhusiana na kifo cha Wangwe?
Baadhi yetu Waswahili tumepewa ubongo wa kufikiri kidogo sana na Mungu, badala ya kuutunza vizuri ndio tunaugaragaza kwenye matope ili tu tupate kula ya leo.
 
Kwa Hawa watoa tuhuma wa kibongo nani ajiuzulu? Wanaoweza kutoa tuhuma kwa mtu kwa miaka 8 mfululizo na halafu ndani ya masaa 2 wanageuka kutushawishi eti mtuhumiwa wao anafaa kuwa kiongozi mkuu. Ni wale wale kiongozi yeyote akiwa kwao ni safi na alikross border anakuwa hastahili hata kuishi.
Targets za kisiasa huwezi kulinganisha na uhalisia sasa Magufuli si alimtaja kwenye kampeni na alisema anamfungulia mahakama ya ufisadi mbona hajamkamata kumsweka ndani
 
Targets za kisiasa huwezi kulinganisha na uhalisia sasa Magufuli si alimtaja kwenye kampeni na alisema anamfungulia mahakama ya ufisadi mbona hajamkamata kumsweka ndani
akirudi kujibu nistue mkuu
 
Huu ni ushauri tu tena ushauri wa busara kabisa , kutajwa kwao kama vinara wa kumlipa jaji zaidi ya mil 300 ili kumbeba Lipumba kwa lengo la kudhulumu haki ya CUF , ni aibu kubwa kwao na ni fedheha kwa Taifa.

Viongozi wawili wa ngazi za juu ambao wote ni wenye asili ya Zanzibar wanatajwa kujidhalilisha na kuamua kumhonga jaji aliyeshika faili lenye hukumu ya kesi ya Lipumba na wasaliti wenzake dhidi ya cuf ili kumbeba Lipumba , Kiongozi mwanamke ametajwa kutoa zaidi ya mil 150 huku yule kiongozi mwanaume akitoa zaidi ya mil 200 , hii ni aibu kubwa sana !

Ushauri wangu kwao na ambao ndio wa pekee unaofaa ni kwa wao kujiuzulu tu .
Umenifanya nijisikie na furaha ...lakini usinidhulumu naomba chanzo cha taarifa
 
Umenifanya nijisikie na furaha ...lakini usinidhulumu naomba chanzo cha taarifa
Hii ilikuwa habari baada ya ushahidi wa uhakika sana kwenye nyuzi zingine kwamba hela imetolewa na vigogo , mimi niliwashauri tu kwamba baada ya tuhuma zile wajitathmini
 
Back
Top Bottom