Viongozi waliokuwa na misimamo thabiti

Viongozi waliokuwa na misimamo thabiti

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,494
DVsaLRlX0AAbm54.jpg

Marais ...Mh Kaunda,Nyerere,Kenyatta na Obote
 
kila wakati na zama zake! kwa sasa tunao pia wasioyumbishwa wala kununulika, akina lissu, mbowe, lema, mnyika, sugu, prof jize na wengine wengi tu! wewe unadhani ni kiongozi gani kwa hao uliowaweka hapo angeendana na akina lissu?
 
ebu kama unawajua vizuri walinganishe na sizonje wenu
 
Wakati huo Rais ni Rais sio sasa hivi Rais anasema watu wanahoji
 
Back
Top Bottom