Viongozi walioenguliwa CHADEMA Geita watimkia CCM

Viongozi walioenguliwa CHADEMA Geita watimkia CCM

Makusudically

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
2,215
Reaction score
1,240
Hayawi hayawi, Hatimaye viongozi waliofanyiwa Uonevu ndani ya Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kama walivyoita viongozi waliovuliwa nyazifa zao bila kufuata utafatibu na kiongozi ambaye wanadai, akiwatamkia wazi kuwa hasira zake zitaishia kwao , kwani yeye alinyimwa fursa ya uongozi CCM , hivyo hawa nao watakiona.

Kiongozi huyo ambaye aliwahi kuwa Waziri katika serikali ya CCM name sasa yuko CDM kiongozi meandamizi, aliwatimua viongozi 19 nakuwahakikishia kuwa wasipompatia fedha Tshs. 680,000 kula mmoja basi hawatatejea tena kwenye nafasi zao.

Kiongozi mmoja ambaye ni mmoja wa Watia nia kwenye nafasi ya Ubunge, jina lake (limehifadhiwa), kiongozi huyo anatokea ziwa magharibi na amenunua mgodi wa dhahabu kutoka mkoa mmoja hapa nchini kwa bilioni 17 kutokana name fedha za kifisadi alizozipata kutoka kwa mmoja wa Watia nia was Urais kupitia CCM, haifahamiki ni kwa makubaliano yapi.

Kiongozi huyu ameitisha wandishi wa habari nakuvunga kukanusha leo tarehe 6 Juni 2015, eti yeye hahusiki nakujiunga na CCM, nakwamba yeye bado ni mwanachama hai wa CDM. Watu wa karibu naye wanasema kwenye orodha ya majina pamoja na kadi za uanachama hata huyo jamaa kadi yake imo. Mamba za kadi hiyo (tunaihifadhi).

Kwa hali hii Chadema Wilaya na Mkoa wa Geita IMEKUFA.
 
Naomba msaada kwa atakayeelewa mantiki ya mwandishi anipe hints. Kichwa hiki kisingezaliwa mzazi wake angepata shida sana ya tumbo.
 
Mbona kama unakimbizwaaaaa??

Au division Five mwenzetu!!!

Chukua maji unywe

Andishai poorest to experience in my Life.
 
naomba msaada kwa atakayeelewa mantiki ya mwandishi anipe hints. Kichwa hiki kisingezaliwa mzazi wake angepata shida sana ya tumbo.


mkuu, huyu bora mzazi wake angebana mapaja asije duniani.lakini hongera mama kwa kuzaa zeroo brain kama hili,

yaani kama mzazi wake alihalibu pesa kumpeleka shule ni bora angekuja hapa corner bar anywe bia atengeneze kitambi angalau watu wamsifu
 
Wewe ni nani Focus,Mutta,Gebo au?Yaani Arcado Ntagazwa aombe rushwa toka kwenu?!maisha mema huko ccm na jimbo tunachukua
 
Waende kwa wanafiki wenzao ccm
 
Mleta uzi namfahamu sana tu na hiki kigenge,hakina impact yoyote njaa inawasumbua tu,wakizingua ntatiririka hapa
 
tunawashukuru sana cdm ngazi ya kanda kwa kugundua usaliti wao na kuwatimulia mbali , msaliti hajifichi .
 
hayawi hayawi, hatimaye viongozi waliofanyiwa uonevu ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo chadema kama walivyoita viongozi waliovuliwa nyazifa zao bila kufuata utafatibu na kiongozi ambaye wanadai, akiwatamkia wazi kuwa hasira zake zitaishia kwao , kwani yeye alinyimwa fursa ya uongozi ccm , hivyo hawa nao watakiona.

Kiongozi huyo ambaye aliwahi kuwa waziri katika serikali ya ccm name sasa yuko cdm kiongozi meandamizi, aliwatimua viongozi 19 nakuwahakikishia kuwa wasipompatia fedha tshs. 680,000 kula mmoja basi hawatatejea tena kwenye nafasi zao.

Kiongozi mmoja ambaye ni mmoja wa watia nia kwenye nafasi ya ubunge, jina lake (limehifadhiwa), kiongozi huyo anatokea ziwa magharibi na amenunua mgodi wa dhahabu kutoka mkoa mmoja hapa nchini kwa bilioni 17 kutokana name fedha za kifisadi alizozipata kutoka kwa mmoja wa watia nia was urais kupitia ccm, haifahamiki ni kwa makubaliano yapi.

Kiongozi huyu ameitisha wandishi wa habari nakuvunga kukanusha leo tarehe 6 juni 2015, eti yeye hahusiki nakujiunga na ccm, nakwamba yeye bado ni mwanachama hai wa cdm. Watu wa karibu naye wanasema kwenye orodha ya majina pamoja na kadi za uanachama hata huyo jamaa kadi yake imo. Mamba za kadi hiyo (tunaihifadhi).

Kwa hali hii chadema wilaya na mkoa wa geita imekufa.

kijan mchumia tumbo wa c.c.m anapo jitoa ufahamu na kuandika uharo !
-kajipange we mfuta viatu riz 1.
 
Eti 680000? Kwa malipo ya kuendelea kuwa na kadi ya CDM...!!? Hapa hata kama ni kutushawishi tuamini uongo imeshindikana. Pole kijana jaziba ulizonazo zinaonyesha ulihitaji uitumikie cdm lakini pole tamaa imekuponza.. Mtafute muta akupe mbinu za kupiga deal kwa musukuma.
 
Andika upya ili ueleweke mkuu, maana point hazijakaa vizuri na pia hazieleweki hata kidogo
 
Hawa vijana na waende kwao ccm.walipojiunga cdm wamevuruga wanachama sana.wakimdharau ndg ROJAZ bili kujali mchango wake
 
kwa hiyo wameenda ccm kwa kuvuliwa uongozi? je huko ccm watapewa huo uongozi?
 
Back
Top Bottom