CCM kama mnaubavu wakamateni wasio julikana mnao wajua walio mpiga risasi TL, tuone kama hamjasambaratika. Kundi hilo lilitumika sana kinufaisha CCM na mwenda zake kukomesha upinzani. Bila kikosi hiki hata tume ya uchaguzi ingeogopa Ku forge matokeo ya uchaguzi 2020 October.