Mimi sijaelewa fresh kati ya madawa ya kulevya na mihadarati..maana hata kwinini pia ni dawa ya kulevya, then kuhusu bange na faini ya 10000 labda kwa vile inalimwa kila sehemu..Hv why mtua aliyekamatwa na bangi ana lipa faini elfu kumi na wa unga ananyimwa hata dhamana ina maana bangi si moja ya madawa ya kulevya!!!???

Je ni hisia gani uliwahi kuzipata ulipovuta marijuana aka bange aka majani na je hii kitu inasaidia watu kufaulu darasani?! mwaka tuliomaliza form four zaidi ya nusu ya darasa tulikuwa tunavuta bange na tulifeli wengi mi nilikuwa nasoma page moja saa nzima kuna jamaa alikuwa akiona picha ya bob marley anazimia nasikia kuna viongozi tena mawaziri wanavuta je inawasaidia kuongoza!na wanamuziki pia kama Jide je kuna ukweli juu ya hili mbona mi imenishinda!!
Hv why mtua aliyekamatwa na bangi ana lipa faini elfu kumi na wa unga ananyimwa hata dhamana ina maana bangi si moja ya madawa ya kulevya!!!???
Mimi sijaelewa fresh kati ya madawa ya kulevya na mihadarati..maana hata kwinini pia ni dawa ya kulevya, then kuhusu bange na faini ya 10000 labda kwa vile inalimwa kila sehemu..
Naam, mimi nadhani kwamba kufanya wawili kati yetu kwa sababu mimi moshi baadhi ya kila asubuhi baada ya kifungua kinywa inasaidia wazi kichwa.
Kwa nini tumbaku kuwa halali lakini si bangi? Slaa kwamba mahitaji ya kuweka katika orodha yake ya mambo ya kujadili kwa ajili ya 2015 tunaweza kukuza uchumi kwa kasi na kufanya tu hii! Anayejali nini mnafiki umoja taifa anadhani tu kuangalia Amsterdam kamili ya bangi nzuri Malawi huko ...