Viongozi wa Yanga mnakwama hapa....

kishumbaz

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
487
Points
500
kishumbaz

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
487 500
Uwazi na kutokuwa na kipya kwenye utendaji wenu...
Jitahidin ku-updates mapato na matumizi na kuwa na utamadun wa kuelezea mashabiki na wanachama mikataba ya udhamin mliyoingia na thaman zake na club inafaidika nini kwenye hiyo mikataba...na mfute migogoro na wachezaji...
Muelewe nyie ndiyo wasimamizi na waendelezaji wa rasilimali za club...
Msipokuwa na uwazi na kubadilika kuonyesha mnaendesha club kisasa kama watani wenu, mashabiki hawata waamn.
 
ngajapo

ngajapo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Messages
683
Points
500
ngajapo

ngajapo

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2012
683 500
Hawawezi kukuelewa hao lengo la kuendesha mfumo wa kizamani ni kuwaminisha mashabiki wao kuwa Ndala ni timu ya wananchi hivyo itachangiwa na wananchi bila mfumo maaalumu. yaani mtu akiingia uwanjani akisoma tu upepo anachukua shati au kofia au bakuli anaanza kukinga hela za michango akimaliza kuzikusanya hawatoi hata mrejesho.. ulisikia wapi hela za kwenye mabakuli zikamfunga mtu? wanachangisha hela kutoka kwa mashabiki uchwara bila vielelezo vya malipo hii ni kwa sababu wanajua wazi kuwa hazina mkaguzi wa mahesabu. na ndo maana hawataki wawekezaji ili wawe wananufaika kirahisi... mfumo wa yanga ni kama ccm ilivyokuwepo kabla ya MAGU kila kitu kinaendeshwa kiukanjanja tu.
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
21,505
Points
2,000
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
21,505 2,000
Mikia FC hao buana.
 
pachachiza

pachachiza

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,603
Points
2,000
pachachiza

pachachiza

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,603 2,000
Hawawezi kukuelewa hao lengo la kuendesha mfumo wa kizamani ni kuwaminisha mashabiki wao kuwa Ndala ni timu ya wananchi hivyo itachangiwa na wananchi bila mfumo maaalumu. yaani mtu akiingia uwanjani akisoma tu upepo anachukua shati au kofia au bakuli anaanza kukinga hela za michango akimaliza kuzikusanya hawatoi hata mrejesho.. ulisikia wapi hela za kwenye mabakuli zikamfunga mtu? wanachangisha hela kutoka kwa mashabiki uchwara bila vielelezo vya malipo hii ni kwa sababu wanajua wazi kuwa hazina mkaguzi wa mahesabu. na ndo maana hawataki wawekezaji ili wawe wananufaika kirahisi... mfumo wa yanga ni kama ccm ilivyokuwepo kabla ya MAGU kila kitu kinaendeshwa kiukanjanja tu.
Mkuu ukaguzi Kwenye taasisi unafanyika kila siku? Hao viongozi wana muda gani toka waanze kazi?
Kuna mikutano IPO Kwenye katiba ambayo moja ya kazi yake kutoa mrejesho acheni ujuaji mwingi.
 
ngajapo

ngajapo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Messages
683
Points
500
ngajapo

ngajapo

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2012
683 500
Yaani brother hadi hapo ulichongea ujue kuna tatizo la mfumo. haiwezekani klabu iwe inatoa mrejesho wa mapato ya fedha kwa kuangalia upya wa viongozi waliopo madarakani badala ya kufuata taratibu za timu. Eti kwa sababu viongozi xx wamechaguliwa mwezi uliopita basi watataanza kutoa taarifa za kifedha baada ya mwaka!! is it? . Anyway kikubwa hapa nilitaka kukumbusha tu kwamba viongozi wenu wanawajaza ujinga kwa propaganda za kuwaminisha kuwa timu ni ya wananchi (makabwela) halafu wanatumia mwanya huo huo kukusanya michango kwa kukinga mabakuli, masefulia, madishi, kofia, mashati nk. bila kufuata taratibu, na isitoshe utakuta leo kakusanya huyu kesho yule yaani hakuna mtu rasmi ili mradi tu katokea kwenye benchi eti la wananchi, then mwisho wa msimu ukiuliza uwanja wa Sokoine, Nangwanda, Alli hassani mwinyi, Kirumba nk tulikusanya shiling ngapi kwa kutumia mabakuli.(mamayngu sijui kama kuna mtu atakujibu)hii ni kwa sababu hazipo kwenye kumbukumbu zozote... Yanga ni taasisi kubwa sana lazima i-move to next level ianze kuendeshwa kisomi ili timu iwe na mipango sahihi.

Mkuu ukaguzi Kwenye taasisi unafanyika kila siku? Hao viongozi wana muda gani toka waanze kazi?
Kuna mikutano IPO Kwenye katiba ambayo moja ya kazi yake kutoa mrejesho acheni ujuaji mwingi.
 
bwege nazi

bwege nazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2018
Messages
214
Points
250
bwege nazi

bwege nazi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2018
214 250
Club ya wananchi lini umenuliwa hata fungu la dagaa na club zaidi ya kuwachangia wapigaji wachache tu.... mijinga kabisa!
 
K

Kibabu chenye pesa ndefu

Senior Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
116
Points
225
K

Kibabu chenye pesa ndefu

Senior Member
Joined Aug 10, 2019
116 225
Uwazi na kutokuwa na kipya kwenye utendaji wenu...
Jitahidin ku-updates mapato na matumizi na kuwa na utamadun wa kuelezea mashabiki na wanachama mikataba ya udhamin mliyoingia na thaman zake na club inafaidika nini kwenye hiyo mikataba...na mfute migogoro na wachezaji...
Muelewe nyie ndiyo wasimamizi na waendelezaji wa rasilimali za club...
Msipokuwa na uwazi na kubadilika kuonyesha mnaendesha club kisasa kama watani wenu, mashabiki hawata waamn.
SHIIIIIIIIII...... tuache kwanza tumalizie maghorofa yetu.
 
Forum statistics

Threads 1,336,174
Members 512,562
Posts 32,529,499
Top