Viongozi wa yanga acheni ujinga

Viongozi wa yanga acheni ujinga

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
337
Reaction score
1,945
Ally Kamwe acha upimbi wa kuwagawa Watanzania kisa yanga inadhaminiwa na GSM au Kikwete na wanakupa kula

Yanga ilikuwepo kabla ya Uhuru hata Kikwete ni mtoto mdogo Sana kwenye hii timu

Atadondoka na kuondoka na yanga itabaki

Tundu Lissu ni shabiki Lia Lia wa yanga na ameshakuwa mwanachama uko nyuma

Hii timu haiwezi kutumika kukandaniza haki za binadamu watu wote mkatufanya mapimbi tukanyamaza hapana

Watu kwanza yanga badae

Taifa kwanza yanga badae

Taifa kwanza CCM badae

Mtusamehe Sana wote mnaosapoti ubakaji,ulawiti,utekaji na ufiraji wa Watanzania na mnajificha kwenye mgongo wa yanga na CCM sisi wapenda mageuzi ya kweli hatutakubali

Bora yanga Ife na isambalatike lakini Taifa la Tanzania kuishi kwa usatawi ulio Bora!!

Ally Kamwe Eng Hersi nawaonya acha kuingiza siasa kwenye mpira ninyi bado vijana wadogo Sana!!
Screenshot_20250818-113136.png
 
ngara23 njoo uone kuna mtu kamsema hersi huku. Njoo umtukane mpaka azimie. Anakusemea mtu wako
 
Kwenye ile thread ya Yanga huwa hatuwaoni ila hapa mnataka kujidai yanga kindakindaki
 
Tukuchangie nauli ukashitaki FIFA kama CHADEMA
CHADEMA wafanye siasa zao,
Mshaambiwa pesa Karia GSM na Hersi binafsi Bado mnatafuta huruma
 
Back
Top Bottom