Viongozi wa wakati wa Mwl.Nyerere wana kasoro?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
:A S-confused1:Hivi naomba kujulishwa mfumo wa uongozi nchini tanzania Nikianza na awamu ya pili hadi hii tuliyo nayo nikwanini wanaochukuwa madarakani huwa wanawaona waliokuwa viongozi enzi ya mwalimu Nyerere hawafai kuongoza kwenye serikali zao??wakati mfumo niuleule na chama nikilekile??
Kunanini haswa??:A S-confused1:
 
Viongozi wa enzi za mwl, walikuwa ni waadilifu hawakua na tamaa za kujilimbikizia mali kwani mzee kifimbo akingng'amua tu ni out, sasa hawa wa sasa na walafi, waroho na wachoyo wanataka kujilimbikizia mali milima na milima ndio maana hawapendi wale wa enzi za kifimbo sio walafi. Alalepema mzee kifimbo laana zako zote zimwangukie JK kwa kumkumbatia mlaaniwa EL.:teeth:
 
Weachatu kuwaweka nivigumu kwenye huu utawala!!
 
Back
Top Bottom