Viongozi wa wakati wa Mwl.Nyerere wana kasoro? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa wakati wa Mwl.Nyerere wana kasoro?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Nov 22, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  :A S-confused1:Hivi naomba kujulishwa mfumo wa uongozi nchini tanzania Nikianza na awamu ya pili hadi hii tuliyo nayo nikwanini wanaochukuwa madarakani huwa wanawaona waliokuwa viongozi enzi ya mwalimu Nyerere hawafai kuongoza kwenye serikali zao??wakati mfumo niuleule na chama nikilekile??
  Kunanini haswa??:A S-confused1:
   
 2. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa enzi za mwl, walikuwa ni waadilifu hawakua na tamaa za kujilimbikizia mali kwani mzee kifimbo akingng'amua tu ni out, sasa hawa wa sasa na walafi, waroho na wachoyo wanataka kujilimbikizia mali milima na milima ndio maana hawapendi wale wa enzi za kifimbo sio walafi. Alalepema mzee kifimbo laana zako zote zimwangukie JK kwa kumkumbatia mlaaniwa EL.:teeth:
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Weachatu kuwaweka nivigumu kwenye huu utawala!!
   
Loading...