Viongozi wa vyama vya wafanyakazi mjitathimini

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,616
Reaction score
2,983

Inaskitisha km siyo kuhuzunisha, kuona kiongozi anaeongoza kundi kubwa la wasomi tena wengine waliomzidi umri na elimu kuongea mbele za watu km muwindaji wa porini alieamua maisha yake ayamalizie kukimbizana na wanyama au ndege.

Siku ya MAY MOSI ni siku ya wafanyakazi kueleza mbele ya kiongozi wa serikali changamoto na matatizo wanayokumbana nayo sehemu ya kazi kwa kuomba kusaidiwa kutatuliwa. Miongoni mwa mambo hayo ni kuomba kuboreshewa maslahi, kuongeza vitendea kazi na watendaji kazi. Pia ku address kero mbali kutoka kwa viongozi wanaowaongoza wafanyakazi sehemu zao za kazi nk.

Lakini MAY MOSI ya mwaka huu 2025 imeskitisha sn kuona kiongozi wa TUCTA alitoa ombi la HOVYO ambalo halijawahi kuombwa na kiongozi yeyote wa TUCTA. Hivi hawa viongozi wa wafanyakazi wanajua kuwa wanaongoza wasomi na siyo kondoo. Je aliyoongea huyu kiongozi wa TUCTA ndo kero na mahitaji ya wafanyakazi. Je aliyoongea alitumwa na wafanyakazi au alitumwa na matawi yao yanayoneemeka na POSHO na mishahara minono wanayojichotea kutoka kwenye makato ya mishahara ya wafanya kazi.

Yani kiongozi unaonba kusiwepo tena vyama vya wafanyakazi!!! Serious, kweli. Kwa hiyo anaona vyama hivyo vinakuja ku challenge ulaji wao. Hivi hiyo sheria ya kuzuia kusajiliwa vyama vya wafanyakazi aliisoma wapi na kutoka katiba ipi ya Jamhuri ya Muungano wa Tz.

Hivi hawa wanaojiita viongozi wa wafanyakazi huchaguliwa kweli kihalali na wafanyakazi au hujiteua kupitia mlango haramu wa rushwa.

Siku ya jana ndo wafanyakazi wamejua rangi zenu halisi. Ndo maana kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hakuna ujinga unaoitwa VYAMA VYA WAFANYAKAZI au UMOJA WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI. Maana kwa Tz vyama vya wafanyakazi ni chaka la upigaji na uwepo wa MAPANDIKIZI YA WATAWALA.

WITO:
Viongozi wa wafanyakazi siku ya MAY MOSI ongea mambo mliyoagizwa na wafanyakazi wenzenu mnaokusanya makoto kutoka kwenye mishahara yao na siyo kujifungia viongozi peke yenu chumbani na kuja na hisia zenu mbele ya mgeni rasmi.

Pia, viongozi wa wafanyakazi acheni kutanguliza matumbo na matakwa yenu mbele na kusahau wafanyakazi wanaowalipa mishahara. Mfano jana mlikomaa na POSHO ZISIKATWE KODI. Hivi ni wafanyakazi wangapi wanaonufaika na hizo POSHO km siyo nyie MABWANYENYE.

MWISHO.
Nyie ni wafanyakazi wa umma au binafsi, acheni tabia za wanasiasa za kuongea uongo na kujipendekeza kwa mamlaka za serikali. Kwa kufanya hivyo hamtaweza kutetea haki za wafanyakazi wenzenu bali kushibisha matumbo yenu. Or else nyie ni MAPANDIKIZI.

Nimemaliza: Said, BANDOKITITA
 
Lile lilikuwa ni kosa la kiufundi. Mama akawaruka futi 700. Sasa watabaki kuwahonga maafisa utumishi ili wasiwatoe
 
View attachment 3322608

TUCTA ilikuwa ya kina Mgaya tu hawa umbwa wengine majanga tu wala hawajui wanasimamia kipi, ila sishangai kwani uliona wapi mwajiriwa waserikali ndiye mwenyekiti wao unategemea kuwa na any productive idea or issue mbele ya Rais? ni kama ile tume yao ya uchafuzi tu.
 
Wachumia tumbo wale,,,na wanawauza sana watumishi wa umma,,,manina zao
 
View attachment 3322608

Inaskitisha km siyo kuhuzunisha, kuona kiongozi anaeongoza kundi kubwa la wasomi tena wengine waliomzidi umri na elimu kuongea mbele za watu km muwindaji wa porini alieamua maisha yake ayamalizie kukimbizana na wanyama au ndege.

Siku ya MAY MOSI ni siku ya wafanyakazi kueleza mbele ya kiongozi wa serikali changamoto na matatizo wanayokumbana nayo sehemu ya kazi kwa kuomba kusaidiwa kutatuliwa. Miongoni mwa mambo hayo ni kuomba kuboreshewa maslahi, kuongeza vitendea kazi na watendaji kazi. Pia ku address kero mbali kutoka kwa viongozi wanaowaongoza wafanyakazi sehemu zao za kazi nk.

Lakini MAY MOSI ya mwaka huu 2025 imeskitisha sn kuona kiongozi wa TUCTA alitoa ombi la HOVYO ambalo halijawahi kuombwa na kiongozi yeyote wa TUCTA. Hivi hawa viongozi wa wafanyakazi wanajua kuwa wanaongoza wasomi na siyo kondoo. Je aliyoongea huyu kiongozi wa TUCTA ndo kero na mahitaji ya wafanyakazi. Je aliyoongea alitumwa na wafanyakazi au alitumwa na matawi yao yanayoneemeka na POSHO na mishahara minono wanayojichotea kutoka kwenye makato ya mishahara ya wafanya kazi.

Yani kiongozi unaonba kusiwepo tena vyama vya wafanyakazi!!! Serious, kweli. Kwa hiyo anaona vyama hivyo vinakuja ku challenge ulaji wao. Hivi hiyo sheria ya kuzuia kusajiliwa vyama vya wafanyakazi aliisoma wapi na kutoka katiba ipi ya Jamhuri ya Muungano wa Tz.

Hivi hawa wanaojiita viongozi wa wafanyakazi huchaguliwa kweli kihalali na wafanyakazi au hujiteua kupitia mlango haramu wa rushwa.

Siku ya jana ndo wafanyakazi wamejua rangi zenu halisi. Ndo maana kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hakuna ujinga unaoitwa VYAMA VYA WAFANYAKAZI au UMOJA WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI. Maana kwa Tz vyama vya wafanyakazi ni chaka la upigaji na uwepo wa MAPANDIKIZI YA WATAWALA.

WITO:
Viongozi wa wafanyakazi siku ya MAY MOSI ongea mambo mliyoagizwa na wafanyakazi wenzenu mnaokusanya makoto kutoka kwenye mishahara yao na siyo kujifungia viongozi peke yenu chumbani na kuja na hisia zenu mbele ya mgeni rasmi.

Pia, viongozi wa wafanyakazi acheni kutanguliza matumbo na matakwa yenu mbele na kusahau wafanyakazi wanaowalipa mishahara. Mfano jana mlikomaa na POSHO ZISIKATWE KODI. Hivi ni wafanyakazi wangapi wanaonufaika na hizo POSHO km siyo nyie MABWANYENYE.

MWISHO.
Nyie ni wafanyakazi wa umma au binafsi, acheni tabia za wanasiasa za kuongea uongo na kujipendekeza kwa mamlaka za serikali. Kwa kufanya hivyo hamtaweza kutetea haki za wafanyakazi wenzenu bali kushibisha matumbo yenu. Or else nyie ni MAPANDIKIZI.

Nimemaliza: Said, BANDOKITITA
Ndio maana Mimi sipo kwenye chama chochote Cha wafanyakazi. Waliwahi kuja ofisini kwangu kuongea na Mimi na kunipa mingozo Yao lakini niliwauliza maswali kadhaa wakabaki kimya bila majibu. Na nikawaambia kama mtalazimisha na kunipa uanachama Kwa nguvu tutakutana mahakamani maana Sheria hapa ndipo ilipo lala. Mpaka Leo sijaona wahuni kama hao wakiji. Alafu siku ya mei mosi ni sikukuu ya wafanyakazi sio siku ya vyama vya wafanyakazi.
 
Wamekuwa machawa,
Inasikitisha mno.
Badala ya kuwa neutral wanakuwa machawa.
 
View attachment 3322608

Inaskitisha km siyo kuhuzunisha, kuona kiongozi anaeongoza kundi kubwa la wasomi tena wengine waliomzidi umri na elimu kuongea mbele za watu km muwindaji wa porini alieamua maisha yake ayamalizie kukimbizana na wanyama au ndege.

Siku ya MAY MOSI ni siku ya wafanyakazi kueleza mbele ya kiongozi wa serikali changamoto na matatizo wanayokumbana nayo sehemu ya kazi kwa kuomba kusaidiwa kutatuliwa. Miongoni mwa mambo hayo ni kuomba kuboreshewa maslahi, kuongeza vitendea kazi na watendaji kazi. Pia ku address kero mbali kutoka kwa viongozi wanaowaongoza wafanyakazi sehemu zao za kazi nk.

Lakini MAY MOSI ya mwaka huu 2025 imeskitisha sn kuona kiongozi wa TUCTA alitoa ombi la HOVYO ambalo halijawahi kuombwa na kiongozi yeyote wa TUCTA. Hivi hawa viongozi wa wafanyakazi wanajua kuwa wanaongoza wasomi na siyo kondoo. Je aliyoongea huyu kiongozi wa TUCTA ndo kero na mahitaji ya wafanyakazi. Je aliyoongea alitumwa na wafanyakazi au alitumwa na matawi yao yanayoneemeka na POSHO na mishahara minono wanayojichotea kutoka kwenye makato ya mishahara ya wafanya kazi.

Yani kiongozi unaonba kusiwepo tena vyama vya wafanyakazi!!! Serious, kweli. Kwa hiyo anaona vyama hivyo vinakuja ku challenge ulaji wao. Hivi hiyo sheria ya kuzuia kusajiliwa vyama vya wafanyakazi aliisoma wapi na kutoka katiba ipi ya Jamhuri ya Muungano wa Tz.

Hivi hawa wanaojiita viongozi wa wafanyakazi huchaguliwa kweli kihalali na wafanyakazi au hujiteua kupitia mlango haramu wa rushwa.

Siku ya jana ndo wafanyakazi wamejua rangi zenu halisi. Ndo maana kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hakuna ujinga unaoitwa VYAMA VYA WAFANYAKAZI au UMOJA WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI. Maana kwa Tz vyama vya wafanyakazi ni chaka la upigaji na uwepo wa MAPANDIKIZI YA WATAWALA.

WITO:
Viongozi wa wafanyakazi siku ya MAY MOSI ongea mambo mliyoagizwa na wafanyakazi wenzenu mnaokusanya makoto kutoka kwenye mishahara yao na siyo kujifungia viongozi peke yenu chumbani na kuja na hisia zenu mbele ya mgeni rasmi.

Pia, viongozi wa wafanyakazi acheni kutanguliza matumbo na matakwa yenu mbele na kusahau wafanyakazi wanaowalipa mishahara. Mfano jana mlikomaa na POSHO ZISIKATWE KODI. Hivi ni wafanyakazi wangapi wanaonufaika na hizo POSHO km siyo nyie MABWANYENYE.

MWISHO.
Nyie ni wafanyakazi wa umma au binafsi, acheni tabia za wanasiasa za kuongea uongo na kujipendekeza kwa mamlaka za serikali. Kwa kufanya hivyo hamtaweza kutetea haki za wafanyakazi wenzenu bali kushibisha matumbo yenu. Or else nyie ni MAPANDIKIZI.

Nimemaliza: Said, BANDOKITITA
Viongozi wa tucta ni wajinga sana,kwenye risala Yao mambo ya promotion hawakuyasema kabisa
 
Wamekuwa machawa,
Inasikitisha mno.
Badala ya kuwa neutral wanakuwa machawa.
Wala hawatakiwi kuwa neutral, wanatakiwa wawe upande wa wafanyakazi ili kupambania maslahi yao na ndo maana huchaguliwa na wafanyakazi. Ni sawa na mbuge, kazi yake ni kutetea maslahi ya wananchi wake kwa kupeleka kero zao bungeni siyo kusifia serikali. Serikali inasifiwa na wananchi baada ya kutekeleza matakwa yao.
 
Uko sahihi kabisa.
Lakini badala yake wanakuwa biased kwa kiwa chawa wa mwajiri.
Inashangaza mno.
 
Back
Top Bottom