Viongozi wa Upinzani waonyeshe njia kwenye hili.

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,487
"Ibara ya 132(4) na (5) na Sheria ya
Maadili ya Viongozi wa
Umma, Sheria namba 13 ya
mwaka 1995 inataka
viongozi wote wa umma
kujaza fomu za Tamko la
Rasilimali na Madeni. Tamko
hilo huwasilishwa Sekretariati
ya Maadili ya Viongozi kabla
ya mwisho wa kila mwaka".

Viongozi wa Upinzani waonyeshe mfano ili tuwe na imani na yale wanayohubiri.
 
Walivyo majizi na wafuasi Nyumbu hutakaa uwaone wakitangaza mali za chama.

Nyumbu kazi yao ni kushangilia tu kila kitakacho kwa mfalme.
 
Back
Top Bottom