Viongozi wa Uamsho wadai polisi waliwafanyia ukatili

Status
Not open for further replies.
Cha muhimu uchunguzi ufanyike. Kama ni kweli polisi waliohusika wachukuliwe hatua kali. Polisi wa Tanzania ni wahalifu wanaostahili kufunguliwa kesi mahakamani.
 
Uislam unaingiaje kwenye suala la ugaidi? Tunapiga vita ugaidi siyo uislam. Kama uislam ndio ugaidi, lilpambanue vizuri ili muhame duniani. Kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Muhamedi na uislam ulianza juzi juzi tu na karibu utakwisha kwa sababu mwisho wa shetani umefika. Shetani akifungwa, uislam hautakuwepo tena. Umeelewa?

Maneno ya kuwehuka..ukielewa ww imetosha
 
Polisi wa Tanzania wanatutayarishia uwanja wa mapambano, Iko siku waislamu na wasiokua waislamu tutapambana na vita hiyo haitakuwa na mshindi...Jamani hata mbuyu ulikuwa mdogo kama mchicha... Mwisho wa chocko choko hizi ni mapambano...
 
waongo tu, wanatafta huruma ya wananchi. na kama wamefanyiwa itakuwa ni harakati za gerezani. kwa utaratibu ulivyo, magereza hawapokei mgonjwa, lzm atibiwe ndo apokelewe. sasa wao ilikuwaje?
 
Duuh! Gaidi analawitiwa hadi analalamika mbele ya kadamnasi,kweli Tanganyika kuna watu wana roho ngumu.
 
hawa ni washenzi kabisa,je wameua watu wangapi kwa mabomu,mbona CUF MLIKAA KIMYA?!
JE MNAFIKIRI KWA HALI YA KUWABEMBELEZA KWA KUWAPA SODA NA KWAULIZA WATAWATAJA WENZAO?
 
CUF kwa hii tabia ya kuunga mkono vikundi vya kigaidi mtasubiri sana kupewa nchi. Sijawahi kusikia CUF wakilaani uchomwaji wa makanisa au mauaji ya Mapadre au wachungaji.Poleni sana CUF
 
Hili halihitaji uwe umesoma hadi ngazi hata ya sekondari. Jiulize kwanza...je Uamsho walichokuwa wakifanya ni halali kwa amani ya nchi? Kama hukijui nikujuze kwakifupi;

1. Uamsho walikuwa wanaendesha mihadhara ya wazi na risala za siri kushawishi waislam kujihami dhidi ya serikali kwa kulipiza kisasi kupitia kujitoa mhanga..(CD tunazo).

2. Uamsho walianzisha vikundi vya mafunzo porini wakiwatumia polisi waasi au wastaafu kufundisha raia matumiz ya bunduki, hand grinades na karatee ili kujihami au kujilipua. Walifika hatua ya kukodi wakufunz hata kutoka nje. Tumetambua hayo na tumejipenyeza humo tukaingia kama wafunzwa wao tukajua wanafanya. Zaid tuna CD za hayo mambo.

3. Polisi hawawez kulawiti mtu yoyote na kwa sababu yoyote ile ndani ya kazi. Labda nje huko kwa mihemko yao binafsi. Kuna njia nyingi za interrogation,kumvua nguo mtu ni kawaida ndo maaba huvuliwa sirini na mtu wa jinsia yake.

Kama ambavyo mwanausalama unajifunza na kubuni njia kadhaa za kugundua uovu ndani ya mwili au moyo wamtu...ndivo na muovu hutafuta yote hayo kutafuta kuyaficha. Wanachokifanya ni kutaka mercy frm the mass.

WEWE UNAETETEA HAO KWA MWAMVULI WA DINI TAMBUA KUWA UNATETEA UGAIDI NA KUIPAMBANUA DINI YAKO KUWA NDIYO YA KIGAIDI KUPITIA YALE WANAYOFANYA HAP UNAOWATETEA. OVER!

Hakuna mtu mwenye akili zake aseogopa ugaidi... Tatizo linakuja pale mtuhumiwa ambae anatambuliwa kuwa hana hatia mpaka pale mahakama ya sheria itakapotoa hukumu ya kisheria...Sasa suala la Polisi kujichukulia sheria mikononi mwao (kama kawaida yao polisi wa tz) hii ni hatari kwa usalama wa taifa hili. Tanzania imegawika katika makundi mawili makubwa ,waislamu na wakristo. Hapa haki ya kila kundi lazimu iheshimiwe ili amani itawale TZ.

Angalia Lebano,Iraq na Syria nini kinaendelea na nini tunaweza kujifunza kutoka kwao. Haya mambo yakiachiwa katika jeshi la polisi yaendelee ni kututayarishia uwanja wa mapambano baina ya haya makundi...Iko siku kundi moja litachoka kunyanyaswa au kusulubiwa na hapo si fikirii kama kutakuwa na mshindi...

Tumeyaona haya tukiwa ughaibuni yalianza kama hivi choko choko mpaka inafika kipindi wa wanachokana kweli kweli. Jamani hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 
Shenzi kabisa hawa akina Farid and company. Chini ya Uhamsho wamesababisha mauaji ya Padre Mushi na kumwagia tindikali Mashekhe anaotofautiana nao Ideology. Halafu leo anaibuka na propaganda za kulawitiwa.
 
Magaidi ni majanja sana katika ku win mass ya waislam. Utasikia yanasema" we are fighting for Muslim right" halafu waislam wapumbavu wanayaunga mkono, kumbe yana malengo ya kishetani. Hata ISIL iraq utasikia we are fighting for the sake of Islam lakini wakati huohuo yanaua waislam wenzao wa Shia.
 
Hili halihitaji uwe umesoma hadi ngazi hata ya sekondari. Jiulize kwanza...je Uamsho walichokuwa wakifanya ni halali kwa amani ya nchi? Kama hukijui nikujuze kwakifupi;

1. Uamsho walikuwa wanaendesha mihadhara ya wazi na risala za siri kushawishi waislam kujihami dhidi ya serikali kwa kulipiza kisasi kupitia kujitoa mhanga..(CD tunazo).

2. Uamsho walianzisha vikundi vya mafunzo porini wakiwatumia polisi waasi au wastaafu kufundisha raia matumiz ya bunduki, hand grinades na karatee ili kujihami au kujilipua. Walifika hatua ya kukodi wakufunz hata kutoka nje. Tumetambua hayo na tumejipenyeza humo tukaingia kama wafunzwa wao tukajua wanafanya. Zaid tuna CD za hayo mambo.

3. Polisi hawawez kulawiti mtu yoyote na kwa sababu yoyote ile ndani ya kazi. Labda nje huko kwa mihemko yao binafsi. Kuna njia nyingi za interrogation,kumvua nguo mtu ni kawaida ndo maaba huvuliwa sirini na mtu wa jinsia yake.

Kama ambavyo mwanausalama unajifunza na kubuni njia kadhaa za kugundua uovu ndani ya mwili au moyo wamtu...ndivo na muovu hutafuta yote hayo kutafuta kuyaficha. Wanachokifanya ni kutaka mercy frm the mass.

WEWE UNAETETEA HAO KWA MWAMVULI WA DINI TAMBUA KUWA UNATETEA UGAIDI NA KUIPAMBANUA DINI YAKO KUWA NDIYO YA KIGAIDI KUPITIA YALE WANAYOFANYA HAP UNAOWATETEA. OVER!

Hakuna mtu mwenye akili zake aseogopa ugaidi... Tatizo linakuja pale mtuhumiwa ambae anatambuliwa kuwa hana hatia mpaka pale mahakama ya sheria itakapotoa hukumu ya kisheria...Sasa suala la Polisi kujichukulia sheria mikononi mwao (kama kawaida yao polisi wa tz) hii ni hatari kwa usalama wa taifa hili. Tanzania imegawika katika makundi mawili makubwa ,waislamu na wakristo. Hapa haki ya kila kundi lazimu iheshimiwe ili amani itawale TZ.

Angalia Lebano,Iraq na Syria nini kinaendelea na nini tunaweza kujifunza kutoka kwao. Haya mambo yakiachiwa katika jeshi la polisi yaendelee ni kututayarishia uwanja wa mapambano baina ya haya makundi...Iko siku kundi moja litachoka kunyanyaswa au kusulubiwa na hapo si fikirii kama kutakuwa na mshindi...

Tumeyaona haya tukiwa ughaibuni yalianza kama hivi choko choko mpaka inafika kipindi wa wanachokana kweli kweli. Jamani hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 
Wakurya noma sana.Yani mnayafira magaidi bila ndomu.Ona sasa mshayabikiri yakitoka jela ugaidi pembeni yatakuwa machoko tu
 
Muslim are easy to be fooled. Unaweza kuwatumia ukawa tajiri mkubwa. Wewe unda ka kikundi then sema unapigania haki za Waislam, wengi watakufuata bila kujali ni haki gani wanaitaka. Then utaona waarabu wanakupa pesa faster. hahahaa
 
CUF ni chama kizuri kinachoteteA unyanyasaji wa wananchi..kama ilivyo chadema.

UkAWa HOY33333!!!!
 
lkn farid aliapa kumwaga moyo wa mtu hasa polisi atakayemfuata fuata, kuwa anatembea njia nzima hakuna wa kumgusa

Farid ni binadam kama sisi, kwa sababu amesema hayo ndio ashikwe kwa nguvu na kufanyiwa ushenzi na kudhalilishwa?? dhambi hii lazima Wazanzibari tuta respond seriously soon
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom