Viongozi wa Tanzania na mambo ovyo ovyo

Viongozi wa Tanzania na mambo ovyo ovyo

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,725
Reaction score
3,796
Wakati wenzutu wakiwa bize kubanana, kuwajibishana, na kutekeleza mipango yao ya kimaendeleo kwa umakini wa hali ya juu. Sisi viongozi wetu wapo wapo tu, huku wakiwa wazito wa kuja na fikra mpya. inavyoonekan kame vile mawazo yao yameganda.Cheki picha zifuatazo uone tofauti.
 

Attachments

  • DSC03346.JPG
    DSC03346.JPG
    1.4 MB · Views: 56
  • DSC02346 -1.JPG
    DSC02346 -1.JPG
    87.7 KB · Views: 48
Tumeona, picha tunapagawa, je tukienda kubeba mabox?
 
Back
Top Bottom