impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,846
- 7,904
Nipo kikazi katika manisipaa singida na viunga vyake takiribani miezi tisa, lakini cha kushangaza ni jinsi vijana walio wengi wana haribikiwa na kushindwa kusoma kwa visingizio kuwa ELIMU DUNIA INAPOTOSHA UMA WA KIISLAMU na vijana hao wengi wao huenda katika vyuo,au madrasa za misikiti inayojengwa kwa wingi na wanasiasa wanaoahidi WAISLAM kupewa mahakama ya kadhi.
Baadhi ya misikiti inawafundisha vijana ukakamavu kama karate, judo, kungfu kama vile jeshi na mambo haya yanafanyika mchana kweupe lakini wanalindwa na wana siasa wanao hofia kunyimwa kula wanazuia vyombo vya dola ulinzi visiingilie hili.
Namnukuu kijana mmoja; Baba alituzuia kwenda shule sababu elimu dunia haitufai waislam na wageni wanaokuja kwetu msikitini wanasema tujifunze jinsi ya kupambana na MAKAFILI maana MAKAFILI wameiteka dunia tusikubali mpaka tufe kwa ajiri ya ALLAH. Mwisho wa kunukuu.
Wanasiasa mnatega bomu subili litalipuka na nyie mkiwemo sijui nani atapona. Poleni ndg zetu wa kenya MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA