lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,145
Toa sadaka kama unampa Mungu na sio Mchungaji...
Wewe ukitoa sadaka nenea sadaka hiyo, amesema wananunua furniture..
Jenga madhabahu wanenee watoto hao juu ya madhabahu...
Wakabidhi watoto kwenye madhabahu iwalinde na kuwakuza vyema...
Ifike mahali tutambue shughuli zote za kanisa zinatumia pesa...
Mungu hawalazimishi wala kuwapangia watu kiwango cha kumtolea mkuu. Tamaa ya pesa ni mwiba mkubwa katika kanisa la leo.
Wanaoaminika kama watumishi wa Mungu ni kama vile wanafanya biashara na Mungu, nipe 50,000 umuone Mungu. Ni aibu. Mimi naamini kanisa linapaswa kuwa na miradi ili kulisaidia kujiendesha na kuwahudumia watumishi wake na sio kutegemea sadaka za kulazimisha, hizo sio sadaka tena!