Viongozi wa Kivule Paisheni Sauti Katika hili

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
602
509
Kuna Hospitali imejengwa na inaendelea kujengwa huku Kivule Frem Kumi Kwa jina Nimeskia inaitwa AMANA

Miundombinu ya barabara kutoka kitunda kituo kinaitwa muembeni inapo ishia rami kuja mpk hospitali hairidhishi barabara ni mbovu na hapana kilomita 10 kufika hospital

Wagonjwa Wanaoletwa kutoka kitunda kufika huku kama yupo seriously anaweza kata moto njiani

Pia hii hospital ni kubwa Wekeni Ambulance.
 
Mimi ni mkazi wa hilo eneo nakuunga mkono mkuu ,unajua ishu hawa viongozi wetu waingiapo madarakan tu basi hauwaoni hawa viongozi wa chini ukiwafata utasikia ngoja tuandike barua yaan complications nyingi sana
 
Back
Top Bottom