Viongozi wa Kitaifa wa CCM (Katibu Mkuu na Katibu wa Itikadi) mnafungaje barabara?

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
Nimebaini kwa masikitiko kuwa viongozi wakuu wa kitaifa wa CCM (KATIBU MKUU NA KATIBU WA ITIKADI) kwenye ziara wanafunga barabara na kuzuia watumiaji wengine wa barabara kama inavyofanyika kwa washika DOLA. huu utamaduni unakera na ni chukizo - hivi sababu yake inaweza kuwa nini?
 
Back
Top Bottom