Viongozi wa Kiislamu Tanzania walaani ushoga; wasema bora kukosa misaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa Kiislamu Tanzania walaani ushoga; wasema bora kukosa misaada

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mdau wetu, Nov 7, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Sasa tungoje na Kanisa litasemaje maana tunaona ndoa za mashoga hufanywa makanisani (huko nje).
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Ushoga ni Laaana, Sodoma Na Gomora ziliteketezwa kwasababu ya ushoga, hakuan mtu mwenye akili timamu anayeutaka ushoga ila tabia ya kuhusiha na Ukristo kama FaizaFoxy anavyosema, sio sahihi hata kidogo. FF huwa mimi nakuheshimu sana ila tabia yako ya kuanzisha thread kishabiki namna hii siipendi hata kidogo, kuna tofauti kubwa sana kati ya Misikiti na Makanisa, the later huwa hawakurupuki, wanatulia, wana-digest kwanza kauli na uhalali wa mtoa mada na kisha ndio wana-react accordingly. Nakushauri sana washauri ndugu zako wasiwe waropokaji kiasi hicho, hata hivyo wapo wanaotumia jina au neno KANISA ili kuhalalisha uovu wao ila wakristo wa kweli wenye akili timamu wapo.

  Hata hivyo kuna jambo huwa linakuwa gumu sana kwangu kulielewa; Wanapinga Ushoga (baadhi yenu) kisha nyie ndio mnaoongoza kwa ufirauni huo, reference zipo nyingi, kuna kisiwa fulani ukifika binti wengi ni bikira lakini wameshaharibiwa sehemu zao nyingine kisa kuilinda bikra....pili kilichofanywa na wale waislamu kwa Gadafi kumtia vijiti sehemu za siri tena hadharani tukiiteje? Je, kama hawa ndio wanaopiga makelele hatuutaki ushoga na nyuma ya pazia wana fanya hivyo tuwaeleweje??

  Tuyaaache hayo yote, tuangalie hatma ya nchi yetu maana hata mashoga wa Bongo ambao walikuwa last time pale TGNP background zao ni Tanga na Zanzibar ambako population kubwa ni waisl...uwe na siku njema na next time usiwafuate hawa jamaa maana wana uono hafifu
   
 4. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Ustaadh mmoja pale msikiti wa Kimara Baruti yeye pomaja na kuwataka watanzania waukatae ushoga kwa nguvu zao zote, amependekeza kuwa kila mmoja ashiriki kwa vitendo kukomesha ushoga nchini kwa kwa kuwakemea, na kuwafukuza wote wanaojihusisha na vitendo hivyo katika nyumba zao, na mitaa yao, ili jamii isalimike na laana za mwenyezimungu.
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Umesema vyema, nakuomba shusha pumzi kidogo, tulizana halafu fikiri, Jee, nilichosema si kweli?

  Unayosema yote hayo kuhusu sodoma na gomora nakubaliana na wewe mia kwa mia, lakini ndugu yangu, ukweli unabaki kuwa ukweli. Mashoga wanaoana kanisani na vilevile tumeona, dunia nzima wameona hata wachungaji wa kanisa Anglikana wameoana tena ni watu wakubwa sana kanisani, nini cha kukataa hapo? hivi kwanini tukatae mabaya kuwa yapo tena yanatendeka makanisa waziwazi, vielelezo kibao kwenye mtandao.
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ushoga =ufisadi.
  mafidi wote na wanaotetea chama cha mafisadi ni mashoga.
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wazee hawa bwana..uyaadhan kweli wanayoyaama
   
 8. Margwe

  Margwe JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli sio kanisani tu hata maeneo mengine yanatendeka waziwazi, wewe si umeona hata Libya ambayo ni nchi ya 'kikristo' Kanali kitu amefanywa?

  Hili ni janga la jamii nzima, bila kujali dini! Kama watz kwa pamoja tuseme hapana, kiongozi ambaye ataguswa sana na kukosa huo msaada kis**ge aende mwenyewe akashikishwe/au kushikisha mtu wall, then atumbue pesa zake.
   
 9. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Dadad FF haya nimeshusha pumzi, ni kweli wala sijasema kuwa KANISA ni safi ila nilichomaaanisha ni kwamba, si kila kanisa ni kanisa, umenielewa? Mwizi akienda kuiba kanisani au kama mwizi ana jina la kikristo hautuwezi kujumuisha kuwa wakristo wote ni wezi, tatizo langu kwako ni hapo ulipofanya generalization, ukiaka ujue msimamo wa kanisa wakati msiamamo umeshakuwepo ever since, kwa TZ nakukumbusha mgogoro wa Anglikana Dodoma na pengine pote, hili halihitaji tamko maana ni ukweli ambao uko wazi, hii ni laana jamani FF, hii haihitaji Tamko, haihitaji kuoa tamko kuwa wizi ni dhambi ilivyo dhambi ya uzinzi na uasherati...vipi tumeenda sawa??

  Kumbuka sasa kuwa dini nyingi zimegeuzwa kuwa vijiwe vya shetani, hapa nazungumzia dini zote, wapo waliojificha kwenye dini ili wafanye maovu yao, Bible na Quran hazisapoti ushoga kwa hio yoyote yule ataekae usapoti ni wazi kuwa amepotosha neno hilo la MUNGU so kwangu hili halihiatji tamko
   
 11. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  View attachment 40725
  ?
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280

  Ahsante tupo pamoja.

  Wakubwa sana kanisani wameshabariki ndoa za mashoga, Anglican church ndio usiseme, sasa ndugu yangu kuna pakukimbilia hapo? karibu Masjid;

  Soma: Church same-sex blessings across Europe « Via Integra
   
 13. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  kanisa lilishatoa tamko long time, kwanza haya mambo yalianzia huko makanisani, walitaka makanisa ya kibongo yatambue hilo swala bila hivyo watawanyima misaada, makanisa ya kiafrika yakakataa na wakaunda umoja wao.

  ukiangalia mashoga wengi wanatoka magomeni,k/ndoni na asilimia 90 ni waislam na hata ukisikiliza chanzo chao cha kuingia kwenye hiyo tabia ni waarabu ambao nao ni waislam achilia tabia ya kuruka ukuta kwa wake zao. tatizo unafiki upo mwingi sna kwenye hii dini...

  pamoja na kua muislam lakni najua tunaunafiki mwingi kwenye mambo mengi mifano ipo mingi sana.
   
 14. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kuna sheikh mkuu wa mkoa wa morogoro Omary Bafadhir alikuwa shoga ivi sasa ni marehemu..
   
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Na wanaoana kanisani?
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Aliolewa msikiini? mimi nawajua wachungaji walioolewa na wanaume wenzao kanisani tena picha zimo kwenye mtandao.
   
 17. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe acha uongo,unamjua au ndio unaziokota vijiweni?
   
Loading...