[h=2]Wadau tujadili hii habari[/h]
"Tunamtaka Lema aache mara moja siasa za vurugu, uchochezi, matusi na vitisho kwa kuwa migogoro katika sekta zote ni kikwazo cha maendeleo. Fujo zake ni kuwapumbaza wananchi ili miaka ipite akiendesha siasa chafu na vurugu. Atimize ahadi alizotoa kwa wananchi.
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
VIONGOZI wa madhehebu ya dini jijini Arusha, wamemuonya mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, aache siasa chafu za kuchochea vurugu. Wamesema siasa chafu zinazofanywa na Lema zinalenga kuwasahaulisha wananchi ahadi alizowapa, ambazo hadi sasa hajazitekeleza zaidi ya kuhamasisha vurugu na maandamano. Hayo yamo kwenye tamko lililotolewa na viongozi wa dini na kutiwa saini na Askofu wa Kanisa la Blazing Alter, Issaya Sizya. Viongozi hao wamesema hawako tayari kuona amani ikivunjika. Alisema haoni mantiki ya Lema kuendeleza malumbano na vurugu zisizo na tija kwa wananchi, kwa kutangaza kutoutambua muafaka uliofikiwa kuhusu Meya wa Jiji la Arusha, huku akifahamu vikao vyote vilivyokuwa vikifanyika.
"Kama Lema aliona muafaka huo haukufuata taratibu, alipaswa kutoa taarifa kwa chama chake ili madiwani na viongozi waliohusika wazuiwe kuendelea na mchakato huo. Haya anayotaka kuendeleza ni kuwavuruga wananchi na kuhatarisha amani," alisema. Askofu Sizya alisema kitendo cha Lema kuendeleza siasa chafu kinawadhalilisha viongozi wenzake na kina dhihirisha yeye ni kiongozi asiyeshaurika na mwenye kuamini mawazo yake ndiyo sahihi kuliko ya wengine. Kwa mujibu wa kiongozi huyo, Lema ameonyesha ishara mbaya ya kutaka kutawala jimbo la Arusha Mjini kwa kumwaga damu, na kwamba kamwe viongozi wa dini hawatakuwa tayari kuacha hilo liendelee. Walikemea maandamano yanayoratibiwa na Lema mara kwa mara, wakisema ni ya hatari na yanazorotesha uchumi wa Arusha na kurudisha nyuma maendeleo ya wananchi. "Tunamtaka Lema aache mara moja siasa za vurugu, uchochezi, matusi na vitisho kwa kuwa migogoro katika sekta zote ni kikwazo cha maendeleo. Fujo zake ni kuwapumbaza wananchi ili miaka ipite akiendesha siasa chafu na vurugu. Atimize ahadi alizotoa kwa wananchi," ilisema sehemu ya tamko hilo.
Viongozi hao walisema wananchi wa Arusha Mjini wana kero nyingi, zikiwemo za msongamano wa magari, uhaba wa majisafi na salama na ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi cha Ngulelo na Kisongo, ambazo ni sehemu ya ahadi zake kuwa atazitatua.
Walisema ahadi nyingine ni za ujenzi wa jengo la Machinga Complex, hospitali kubwa tatu na ukarabati wa miundombinu ya majitaka.
Source: Gazeti la udaku Uhuru
mkuu hilo mbona liko wazi. wengi tunajua hivyo isipokuwa mazezeta machache tu ambayo yamelishwa jaziba kama lile lililomuuliza ndugai kuhusu ushaidi wa akina lema na lisu. Jaziba.wabunge wengi wa chadema hawatarudi bungeni wengi wameendekeza kutafuta umaarufu kupitia bunge huku wamesahau kutimiza ahadi zao majimboni
Mwaka mmoja umeshapita na kwa Arusha hakuna lolote bali malumbano yanayoishia makao makuu ya CDM.wabunge wengi wa chadema hawatarudi bungeni wengi wameendekeza kutafuta umaarufu kupitia bunge huku wamesahau kutimiza ahadi zao majimboni
<br />wabunge wengi wa chadema hawatarudi bungeni wengi wameendekeza kutafuta umaarufu kupitia bunge huku wamesahau kutimiza ahadi zao majimboni
Is it credible source???[h=2]Wadau tujadili hii habari[/h]
"Tunamtaka Lema aache mara moja siasa za vurugu, uchochezi, matusi na vitisho kwa kuwa migogoro katika sekta zote ni kikwazo cha maendeleo. Fujo zake ni kuwapumbaza wananchi ili miaka ipite akiendesha siasa chafu na vurugu. Atimize ahadi alizotoa kwa wananchi.
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
VIONGOZI wa madhehebu ya dini jijini Arusha, wamemuonya mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, aache siasa chafu za kuchochea vurugu. Wamesema siasa chafu zinazofanywa na Lema zinalenga kuwasahaulisha wananchi ahadi alizowapa, ambazo hadi sasa hajazitekeleza zaidi ya kuhamasisha vurugu na maandamano. Hayo yamo kwenye tamko lililotolewa na viongozi wa dini na kutiwa saini na Askofu wa Kanisa la Blazing Alter, Issaya Sizya. Viongozi hao wamesema hawako tayari kuona amani ikivunjika. Alisema haoni mantiki ya Lema kuendeleza malumbano na vurugu zisizo na tija kwa wananchi, kwa kutangaza kutoutambua muafaka uliofikiwa kuhusu Meya wa Jiji la Arusha, huku akifahamu vikao vyote vilivyokuwa vikifanyika.
"Kama Lema aliona muafaka huo haukufuata taratibu, alipaswa kutoa taarifa kwa chama chake ili madiwani na viongozi waliohusika wazuiwe kuendelea na mchakato huo. Haya anayotaka kuendeleza ni kuwavuruga wananchi na kuhatarisha amani," alisema. Askofu Sizya alisema kitendo cha Lema kuendeleza siasa chafu kinawadhalilisha viongozi wenzake na kina dhihirisha yeye ni kiongozi asiyeshaurika na mwenye kuamini mawazo yake ndiyo sahihi kuliko ya wengine. Kwa mujibu wa kiongozi huyo, Lema ameonyesha ishara mbaya ya kutaka kutawala jimbo la Arusha Mjini kwa kumwaga damu, na kwamba kamwe viongozi wa dini hawatakuwa tayari kuacha hilo liendelee. Walikemea maandamano yanayoratibiwa na Lema mara kwa mara, wakisema ni ya hatari na yanazorotesha uchumi wa Arusha na kurudisha nyuma maendeleo ya wananchi. "Tunamtaka Lema aache mara moja siasa za vurugu, uchochezi, matusi na vitisho kwa kuwa migogoro katika sekta zote ni kikwazo cha maendeleo. Fujo zake ni kuwapumbaza wananchi ili miaka ipite akiendesha siasa chafu na vurugu. Atimize ahadi alizotoa kwa wananchi," ilisema sehemu ya tamko hilo.
Viongozi hao walisema wananchi wa Arusha Mjini wana kero nyingi, zikiwemo za msongamano wa magari, uhaba wa majisafi na salama na ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi cha Ngulelo na Kisongo, ambazo ni sehemu ya ahadi zake kuwa atazitatua.
Walisema ahadi nyingine ni za ujenzi wa jengo la Machinga Complex, hospitali kubwa tatu na ukarabati wa miundombinu ya majitaka.
Source: Gazeti la udaku Uhuru
Wewe ndio Zezeta....mkuu hilo mbona liko wazi. wengi tunajua hivyo isipokuwa mazezeta machache tu ambayo yamelishwa jaziba kama lile lililomuuliza ndugai kuhusu ushaidi wa akina lema na lisu. Jaziba.
<br />Is it credible source???
wabunge wengi wa chadema hawatarudi bungeni wengi wameendekeza kutafuta umaarufu kupitia bunge huku wamesahau kutimiza ahadi zao majimboni
Si nasikia kuna wengine ni madrug dealers?Hawa unaweza kuta wanapiga kelele ili kuficha madhambi yao.Maaskofu gani hao.Habari yenyewe pia kweli ka udaku.Ni viongozi wa madhehebu gani hayo?Jina la kanisa lenyewe limekaa kitapeli tapeli,eti blazing Alter,what da....[h=2]Wadau tujadili hii habari[/h]
"Tunamtaka Lema aache mara moja siasa za vurugu, uchochezi, matusi na vitisho kwa kuwa migogoro katika sekta zote ni kikwazo cha maendeleo. Fujo zake ni kuwapumbaza wananchi ili miaka ipite akiendesha siasa chafu na vurugu. Atimize ahadi alizotoa kwa wananchi.
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
VIONGOZI wa madhehebu ya dini jijini Arusha, wamemuonya mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, aache siasa chafu za kuchochea vurugu. Wamesema siasa chafu zinazofanywa na Lema zinalenga kuwasahaulisha wananchi ahadi alizowapa, ambazo hadi sasa hajazitekeleza zaidi ya kuhamasisha vurugu na maandamano. Hayo yamo kwenye tamko lililotolewa na viongozi wa dini na kutiwa saini na Askofu wa Kanisa la Blazing Alter, Issaya Sizya. Viongozi hao wamesema hawako tayari kuona amani ikivunjika. Alisema haoni mantiki ya Lema kuendeleza malumbano na vurugu zisizo na tija kwa wananchi, kwa kutangaza kutoutambua muafaka uliofikiwa kuhusu Meya wa Jiji la Arusha, huku akifahamu vikao vyote vilivyokuwa vikifanyika.
"Kama Lema aliona muafaka huo haukufuata taratibu, alipaswa kutoa taarifa kwa chama chake ili madiwani na viongozi waliohusika wazuiwe kuendelea na mchakato huo. Haya anayotaka kuendeleza ni kuwavuruga wananchi na kuhatarisha amani," alisema. Askofu Sizya alisema kitendo cha Lema kuendeleza siasa chafu kinawadhalilisha viongozi wenzake na kina dhihirisha yeye ni kiongozi asiyeshaurika na mwenye kuamini mawazo yake ndiyo sahihi kuliko ya wengine. Kwa mujibu wa kiongozi huyo, Lema ameonyesha ishara mbaya ya kutaka kutawala jimbo la Arusha Mjini kwa kumwaga damu, na kwamba kamwe viongozi wa dini hawatakuwa tayari kuacha hilo liendelee. Walikemea maandamano yanayoratibiwa na Lema mara kwa mara, wakisema ni ya hatari na yanazorotesha uchumi wa Arusha na kurudisha nyuma maendeleo ya wananchi. "Tunamtaka Lema aache mara moja siasa za vurugu, uchochezi, matusi na vitisho kwa kuwa migogoro katika sekta zote ni kikwazo cha maendeleo. Fujo zake ni kuwapumbaza wananchi ili miaka ipite akiendesha siasa chafu na vurugu. Atimize ahadi alizotoa kwa wananchi," ilisema sehemu ya tamko hilo.
Viongozi hao walisema wananchi wa Arusha Mjini wana kero nyingi, zikiwemo za msongamano wa magari, uhaba wa majisafi na salama na ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi cha Ngulelo na Kisongo, ambazo ni sehemu ya ahadi zake kuwa atazitatua.
Walisema ahadi nyingine ni za ujenzi wa jengo la Machinga Complex, hospitali kubwa tatu na ukarabati wa miundombinu ya majitaka.
Source: Gazeti la udaku Uhuru
<br />Mwaka mmoja umeshapita na kwa Arusha hakuna lolote bali malumbano yanayoishia makao makuu ya CDM.<br />
Kubomoa rahisi ngoma ipo katika kujenga.

<br /><font color="#ff0000"><font size="4"><span style="font-family: century gothic">Kwani hiki si kipindi cha bunge kaka? wewe unategemea waache bunge aende kutekeleza ahadi gani wewe? hivi unadhani kutekeleza ahadi si kunaanzia bungeni? kama hivyo basi wabunge wote wa CCM hawatorudi kabisaaaa bungeni maana sioni wanachotekeleza. CCM mmejisahau sana na kuona kama sisi wapumbavu sana, hivi hamjui sasa hivi mnajisaidia choo cha magunia kisicho na mlango? <b>Usijione umesimama angalia usije ukaanguka</b>.</span></font></font>