Tumuulize kwanza Dr Jakaya Mrisho Kikwete ambaye hajielewi kama yeye ni Gamba au ni Gambuka,yote ya yote ni pale anapokataa maamuzi yake mwenyewe aliyoyapitisha kwenye baraza lake la mawaziri ,anajiagiza mwenyewe na kujitukana mwenyewe , hajui kipi ni cha kutekelezwa na CC ya CCm au serikali mwaka mzima anatrot tu dunia nzima,maisha yapangiki ,ndio wa kumueleza unayosema ya mwaka Lema hana serikaliMwaka mmoja umeshapita na kwa Arusha hakuna lolote bali malumbano yanayoishia makao makuu ya CDM.
Kubomoa rahisi ngoma ipo katika kujenga.
Haki haitapindishwa kwa sababu ya waroho fulani