Viongozi wa Dini toeni maoni juu ya Budget | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa Dini toeni maoni juu ya Budget

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Technology, Jun 13, 2011.

 1. T

  Technology JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Msiwe wepesi tu kuilaumu serikali inapokesea lakini Tunawaomba viongozi wa dini mtoe maoni yenu juu ya Budget hara iwezekanavyo kabla haijapitishwa ili msije kulalamika baadae. mchango wenu siku zote umekua ni muhumi kwa ustawi wa jamii yetu.
   
Loading...