Viongozi wa Dini na siasa

Viongozi wa Dini na siasa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,890
Viongozi wa Dini mbalimbali sasaivi wamekuwa ni sehemu ya kutetea mambo ovu yanayofanywa na wanasiasa.

Nasikitika kusema ya kwamba, huko mbeleni kuna watu hawatokuwa wakienda nyumba za ibada tena hususani zinazoongozwa na viongozi wachumia tumbo.

NOTE: Kadri dini zinavyojiingiza kwenye mambo yasio ya haki ndio umma unazidi kutoamini Dini.

VIONGOZI WA DINI TAMBUENI YA KWAMBA, SIKU YA MWISHO MTAKUWA NA LA KUJIBU KWA MIUNGU YENU KWA VITENDO VYENU VYA KUZICHAFUA IMANI NA KUWAFANYA WATU WAZIKIMBIE IMANI ZAO.

Kama kiongozi wa dini haogopi kutenda maovu, ni kipi kitakachomfanya mtu wa kawaida asitende maovu?

✍️ Mjanja M1 kwasasa napatikana Kabul mji mkuu wa Afghanistan 🇦🇫 viongozi
 
Back
Top Bottom